HARMORAPA Akili za Kipepe cover image

Akili za Kipepe Lyrics

Akili za Kipepe Lyrics by HARMORAPA


Mi navura pumzi we unavuta madawa
Naukataa uchizi wewe unazidi pagawa
Mi nasaka pesa we unasaka mademu
Napambana na maisha sipendi ujinga some time

Unauwaza u Marioo mwenzako nasaka doh
Napamban kialipo sili ugali wa shikamoo
Unashangaa tukiyajenga na Don mwezangu mo
Muulize mpiga picha atakupa mastory

Unataka uhit Insta wakati vibes lako boring
Ukipita kila kona watu unawaacha hoi
Mademu wao wanashoboka na mimi
Ngoma lao zaidi ya mitamboni

Wali ..ghariba
Ndio hao kwa mademu wanaimba
Wali ..ghariba
Ndio hao kwa mademu wanaimba 

Unataka pombe kali unataka dinga kali
Unataka umtoe dingi kisa unapenda mali

Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe
Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe

Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe
Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe

Unamwabudu mganga mi namwabudu Mungu
Unapiga majungu mi napiga tusu
Leo kiki, weka kiki matambiko yananilinda
Ngoma yako mpaka uboosti mie muulize Madinda

Unataka stiki kiprofessional sio teacher
Unacheza ndiki nikifika nakuficha
Mi ndo mali asili muda simba kumficha
Mmelala giza totoro kidume natafuta
Unapenda vigodoro unapenda mamushka
Unaendeshe mgogoro mi naendesha Tesla

Wali ..ghariba
Ndio hao kwa mademu wanaimba
Wali ..ghariba
Ndio hao kwa mademu wanaimba 

Unataka pombe kali unataka dinga kali
Unataka umtoe dingi kisa unapenda mali

Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe
Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe

Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe
Akili za kipepe, anazijua mwenyewe
Anazijua mwenyewe, anazijua mwenyewe

Watch Video


About Akili za Kipepe

Album : Akili za Kipepe (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 10 , 2020

More HARMORAPA Lyrics

HARMORAPA
HARMORAPA
HARMORAPA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl