Ajitokeze/Mr.Kiki Lyrics
Ajitokeze/Mr.Kiki Lyrics by HARMORAPA
Wananiita Harmorapa mister kiki
Nikifanya kipigo, ngoma zao haziskiki
Wakiziba huku mi napita kule
Wakirusha machupa narusha madude
Madem wakali, mimi
Ngoma kali, mimi
Madem wakali, mimi
Ngoma kali, mimi
Na story zinazohit mtaani why mimi?
Asante sana Social network
Kwangu hazikabi, hamna beki
Kila nikigusa, wire
Harmorapa in the building, fire
Nawanyorosha kwenye top ten
Kwenye top ten, mi nashika namba moja
Acha wavimbe, wapasuke
Aaah eyaaa ah ah ah
Eyaaa ah ah ah, eyaa
Kama yupo ajitokeze
Aaah eyaaa ah ah ah
Eyaaa ah ah ah eyaa
Kama yupo ajitokeze
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Kwenye hili game
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Kwenye hili game
Nishakuwa mfagizi chini ya miti
Nazijua kero za majani
We na majani hayafadhiliki
Ndo maana sipatani na majani
Nachukiwa na wazembe mpaka bars
Mi player, nisotegemea pass
Mi ni gem sina shobo na nyasi
Karibu sana kama unataka nafasi
Nahitaji msaidizi ila sie wa kushare naye dem
Nataka wa kukaba nafasi
Mwenye punch zaidi ya mimi
Kwenye hili game
Nawanyorosha kwenye top ten
Kwenye top ten, mi nashika namba moja
Acha wavimbe, wapasuke
Aaah eyaaa ah ah ah
Eyaaa ah ah ah, eyaa
Kama yupo ajitokeze
Aaah eyaaa ah ah ah
Eyaaa ah ah ah eyaa
Kama yupo ajitokeze
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Kwenye hili game
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Sasa mambo barabara
Hainaga mjadala
Mi nakesha piga sala
We unakesha kunywa makangara
Aaah eyaaa ah ah ah
Eyaaa ah ah ah, eyaa
Kama yupo ajitokeze
Aaah eyaaa ah ah ah
Eyaaa ah ah ah eyaa
Kama yupo ajitokeze
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Kwenye hili game
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Nahitaji msaidizi
Sasa mambo barabara
Hainaga mjadala
Mi nakesha piga sala
We unakesha kunywa makangara
Watch Video
About Ajitokeze/Mr.Kiki
More HARMORAPA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl