Wimbo wa Sifa Lyrics
Wimbo wa Sifa Lyrics by GOODLUCK GOZBERT
Baba sauti yangu
Ikawe dhabihu ya sifa
Kitini pako Yahweh
Yesu unipe wimbo wa sifa
Niimbe moyoni mwangu baba
Kwenye machozi(niimbe)
Kwenye furaha(niimbe)
Kwenye mapito(niimbe)
Wimbo wa sifa
Kwenye hali zote(niimbe)
Mimi niimbe(niimbe)
Bila kuchoka(niimbe)
Wimbo wa sifa
Nisizuiwe na hofu
Mashaka wala uoga
Faraja na tumaini lako
Vikawe wimbo mmmh
Kama ulinipa baraka
Katu sitasumbuka
Neema yanitosha
Nipe na wimbo wa sifa
Niimbe
Kwenye machozi(niimbe)
Kwenye furaha(niimbe)
Kwenye mapito(niimbe)
Wimbo wa sifa
Kwenye hali zote(niimbe)
Mimi niimbe(niimbe)
Bila kuchoka(niimbe)
Wimbo wa sifa
Tu es mon pére je suis ton enfant
Toi tu me compred mieux que tout
Ceus qui sont autour de moi, mmmh
Quand je prie seigneur
écoute la priére de mon coeur
et puis met ta chanson dans ma bouche
Niimbe, niimbe
Dans lens larmes(Je vais chanter)
Dans la joie(Chanter)
Dan les épreuves(Chanter)
La chason de louange
Kwenye hali zote(niimbe)
Mimi niimbe(niimbe)
Bila kuchoka(niimbe)
Wimbo wa sifa
Niimbe niimbe niimbe tu(niimbe)
Wimbo wa sifa(niimbe)
Sans me fatigué(chanter)
La chason de louange
Dans lens larmes(Je vais chanter)
Dans la joie(Chanter)
Dan les épreuves(Chanter)
La chason de louange(Chanter)
Dans tout les cas(Je vais chanter)
Moi je v chanter(Chanter)
Sans me fatigué(Chanter)
La chanson de louange
Niimbe niimbe niimbe tu(niimbe)
Wimbo wa sifa(niimbe)
Kwenye mapito(niimbe)
Wimbo wa sifa
Kwenye hali zote(niimbe)
Mimi niimbe(niimbe)
Bila kuchoka(niimbe)
Wimbo wa sifa
Niimbe niimbe niimbe tu
Asante
Watch Video
About Wimbo wa Sifa
More GOODLUCK GOZBERT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl