Tumeokoka Lyrics by GNAKO


Tumeokoka, aiya aiya mmmh
Tumeokoka, tumeokoka
Tumeokoka, tumeokoka

Kwenye maunga (Tumeokoka)
Kwenye mapumba (Tumeokoka)
Kwenye waganga (Tumeokoka)
Kwenye kukaba (Tumeokoka)

Kata kiroba (Tumeokoka)
Wape kasusu
Vumbi ka Congo (Tumeokoka)

Aee aee shetani anaona noma
Aee aee shetani anaona noma

Patashika (Ayee) patachimbika (Ayee)
Patashika (Ayee) patachimbika (Ayee)

Tumeokoka, tumeokoka
Tumeokoka, tumeokoka

Kwenye maunga (Tumeokoka)
Kwenye mapumba (Tumeokoka)
Kwenye waganga (Tumeokoka)
Kwenye kukaba (Tumeokoka)

Kata kiroba (Tumeokoka)
Wape kasusu
Vumbi ka Congo (Tumeokoka)

Maje majanga
Kumgu manyanga 
Mtaani waganga
Ku Gucci matanga

Wake za watu je?
Kupiga kavu je?
Kuvujisha video, za utupu

Patashika (Ayee) patachimbika (Ayee)
Patashika (Ayee) patachimbika (Ayee)

Tumeokoka siku hizi hatupigi mapuchu (Tumeokoka)
Ka ingekuwa zamani nishapita na Zuchu (Tumeokoka)
Tumeokoka siku hizi hatutimbi na visu (Tumeokoka)
Huo usela mabiz hatutaki mavisu (Tumeokoka)

Kwenye mapumba (Tumeokoka)
Kwenye waganga (Tumeokoka)
Kwenye kukaba (Tumeokoka)

Kata kiroba (Tumeokoka)
Wape kasusu
Vumbi ka Congo (Tumeokoka)

Aee aee shetani anaona noma
Aee aee shetani anaona noma

Patashika (Ayee) patachimbika (Ayee)
Patashika (Ayee) patachimbika (Ayee)

Watch Video

About Tumeokoka

Album : Tumeokoka (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 17 , 2020

More GNAKO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl