Mwanamke Lyrics by GNAKO

Uuuuuhh yeah ohh yeah mmmhh yeaah
Teddy B
Nani aneza nyonyesha mwanamke 
Akikutega unategeka mwanamke
Aneza Fanya ukateseka mwanamke
Ringa Kama wewe mwanamke
imba Kama umempata mwanamke
Mimba anabeba mwanamke

Aah mi nachekaga tu 
Mwanamke ndio kiumbe wa ajabu 
Kuliko viumbe vyote
Alimlisha Sam 
Mwanamke Ana kitu alafu anapenda mikate
Kataa kubali mwanamke akipata 
Anaenda kileleni
Mwanamke bwana Ni mtu hatari
Aneza pambania kombe akupe bakuli
 Nani kapewa umbo mwanamke 
Mwanamke bwana atakupaa furaha
Mwanamke bwana ndio amekuzaa

Nani aneza nyonyesha mwanamke
Akikutega unategeka mwanamke
Aneza Fanya ukateseka mwanamke
Ringa Kama wewe mwanamke
Imba Kama umempata mwanamke
Mimba anabebanga mwanamke
Imba Kama unampenda mwanamke

Onananana onanananna
Mwanamke anafanya tutaliane
Mwanamke anafanya tuzaliane
Anafanya tushikamane
Do I make myself clear
Mwanamke aneza Fanya traffic isimamishwe
Mwanamke anaa maziwa akinywa sumu anakufa
Mwanangu mkiniunga mikono mi nitawaunga miguu
Mwanamke aneza Fanya we ukawa juu
Mwanamke anamfanya mwanaume anajipaka kuturu
Mwanamke bwana atakupaa furaha
Mwanamke bwana ndio amekuzaa
Nani aneza nyonyesha mwanamke
Akikutega unategeka mwanamke
Aneza Fanya ukateseka mwanamke
Ringa Kama wewe mwanamke

Watch Video

About Mwanamke

Album : Mwanamke
Release Year : 2020
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
Published : Apr 14 , 2020

More GNAKO Lyrics

GNAKO
GNAKO

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl