Ushamba Lyrics
This Song Based on People Who Likes To Brag Too much In Everything They Do Or They Get...!! Harmo...
Ushamba Lyrics by HARMONIZE
Kondeboy
Weeeeeeeee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Pesa ya kulipa gesti unayo eeeh
Nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
Mmh yanafurahisha ufanyayo
Eeeh huo ni ushamba
Inaboa kudadadeki dereva wa Uber
Hataki kuova teki
Eti kisa pesa haiongezeki
Eeeh huo ni ushamba
Yupo kitandani kajilegeza eeh
Mi nimeshapaka vya kuteleza eeh
Eti bebi leo simba wanacheza eeeh
Huo ni ushamba
Husband material
Kutwa unalike picha za makalio vya wenzako
Usijipe matamanio
Eeh huo ni ushamba
Ashura wa mbagala huna pakula pakulala
Komenti ndefu picha za kajala
Huo tunaita eeeh huo ni ushamba
Huo ni ushambaa huoni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Mmmh malejendi si wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita
Eeh huo ni ushamba
Limechoka acha nilikalagaze
Halina meno ilo simba zeee
Likila demu lazima litangaze
Huo tunaita eeeh huo ni ushamba
Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh
Maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh
Wana page za kujipigia domo eeeh
Huo ni ushamba
Amepanga chumba huko vingunguti
Yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti
Mmh vipi akikupiga kibuti
Eeeh huo ni ushamba
Aaah konda wa daladala
Umenipitisha bahati mbaya
Nililala unataka nilipe tena ni busara
Eeeh huo ni ushamba
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Eeeeh huo ni ushambaa
Kaja na vumbi uso umefubaa
Aadai kapaka poda eeh
Kaniomba nauli ya Uber
Eeeh huo ni ushamba
Yule namuona kapanda boda
Vitu vingine haviji na ubongo eeh
Punguzeni sifa wana sio mchongo
Eeh demu humjui unampakia mkongoo
Eeeh huoni ushambaa
Yeye ndo kalewa kuliko wote
Anaimba nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote
Eeh huo ni ushambaa
Meno yote nje anachekelea
Ahsante bebi nimepokea hasa
Mbona haujatuma na yakutoleaa
Eeeh huo ni ushambaa
Kumepambazuka alfajiri
Tupo club wana anasema subiri
Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri
Aah eeeh huoni ushambaa
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga
Mwenzetu unatuletea muganga
Unataka wote tuonekane wangaa
Huo tunaita eeeh huo ni ushambaa
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Eeeeh huo ni ushambaa
Hehehehee hasa kama
Tumekutana mchana unasema haujala
Heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki
Wewee hehehe hahaha hahahahah
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huoni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa
They call me Kondeboy
No 1 jeshiiiiiii
Watch Video
About Ushamba
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl