EDDA Lyrics
EDDA Lyrics by G NAKO
S2kizzy beiby
Maumivu ya mapenzi wewe nipee discount
Umegeuka kidume wewe in this house
Bonyeza kitufe mama ni log out
Moyo umeupa konde ni big punch
Usije kushangaa nimefunga kitanzi
Ua
Ninavyokujali kurudi nyumbani haifikagi hata saa sita
Tena nilivyo bonya nikipata vipesa huwaga nakukumbuka
Hivi ni wewe kweli niliyekuita sali
Yaani ni wewe kweli unafanya nikafeli
Edda edda....unanieka hedda mtoto wa kiume
Edda edda.... Oooh nazidi kukonda naukosa unene
Edda edda.... Unaniweka hedda mtoto wa kiume
Edda edda.... Mmmh utanitoa roho
Mwili umekongoroka, umebaki mifupa
Mi mwanaume wa shoka, wanivuta ka buta
Usinipeleka mbio, kisa penzi halina salio
Kila kitu niseme ndio, utaniumiza
Aisha tena
Penzi linachenga chenga geuza antenna
Umenipa mzigo mzito kama container
Umelifunga penzi sina opener
Mwenzako siwezi
Edda edda....aaah unaniweka hedda mtoto wa mwenzio
Edda edda.... Aaah unaniweka hedda mtoto wa kiume
Edda edda.... Aaah unaniweka hedda mtoto wa mwenzio
Edda edda.... Aaah unaniweka hedda mtoto wa kiume
Huna huruma hata kidogo
Umeumbiwa ubaya mama unanongwa iyo
Najikaza jikaza yaani kamba shingoni
Penzi kwako hakunaga hilo
Fasta tena presha ilishuka kapanda
Leo tena shida ni mbuni wa mapesa
We sema mbona ushanichukua mateka
Mapema
Maumivu ya mapenzi wewe nipee discount
Umegeuka kidume wewe in this house
Bonyeza kitufe mama ni log out
Moyo umeupa konde ni big punch
Usije kushangaa nimefunga kitanzi
Edda edda....mamamamamama
Edda edda.... Fanya mapenzi yananichangaya
Edda edda....
Watch Video
About EDDA
More G NAKO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl