Paroles de Vuva
Paroles de Vuva Par ZZERO SUFURI
Yeah yeah ni Zzero
Kama Sos, kama soss
Mi ndio boss
Mi ndio world boss
(Yeah Drisa)
Vako zangu mi huwanga kuvuva (Vuva)
Kivela kivuvuzela vuva (Vuva)
Trumpet man a trumpet ni kuvuva (Vuva)
Parapanda parararira ni kuvuva (Vuva)
Vuuuuuuuu....vuva (Vuva)
Kivela kivuvuzela vuva (Vuva)
Trumpet man a trumpet ni kuvuva (Vuva)
Parapanda parararira ni kuvuva (Vuva)
Cheki mi huipenda shada
Na ndio maana mi huikula (Kula)
Kwangu huskii ni kama kamtula
Mi hupenda ga safi
Siwezi choma ka ni gura (Gura)
Highgrade ndo yangu chakula
Mi huchoma ka nimejifinya
Hadharani huchomaga picha
Chomaga picha
Hadharani huchomaga picha
Mi huchoma ka nimejifinya
Hadharani huchomaga picha
Chomaga picha
Hadharani huchomaga picha man
Mali iko fiti nikuchome uone ka kitashika
Ka kitashika cheki ka kitashika
Cheki! Mali iko fiti nikuchome uone ka kitashika
Ka kitashika alafu tuimbe zimenishika ee
Vako zangu mi huwanga kuvuva (Vuva)
Kivela kivuvuzela vuva (Vuva)
Trumpet man a trumpet ni kuvuva (Vuva)
Parapanda parararira ni kuvuva (Vuva)
Vuuuuuuuu....vuva (Vuva)
Kivela kivuvuzela vuva (Vuva)
Trumpet man a trumpet ni kuvuva (Vuva)
Parapanda parararira ni kuvuva (Vuva)
Cheki mi hupenda mbele
Kuna wasee hupendaga nyuma (Nyuma)
Kwani ni nini ingine morio ka si thutha
Mi hupenda kuchoma kikitu jo na mabuda
Lipstic kwa godo hupakwa sana na ma woman
Kwanza kikati kilocal kwanza kia me
Kimunyanya na mangeus na bado ikijipa stick
Dryspell huskii siwezi mada wiki
Ikus si tamu morio ngori ka haiwiki
Mi huchoma ka nimejifinya
Hadharani huchomaga picha
Chomaga picha
Hadharani huchomaga picha
Mi huchoma ka nimejifinya
Hadharani huchomaga picha
Chomaga picha
Hadharani huchomaga picha man
Mali iko fiti nikuchome uone ka kitashika
Ka kitashika cheki ka kitashika
Cheki! Mali iko fiti nikuchome uone ka kitashika
Ka kitashika alafu tuimbe zimenishika ee
Vako zangu mi huwanga kuvuva (Vuva)
Kivela kivuvuzela vuva (Vuva)
Trumpet man a trumpet ni kuvuva (Vuva)
Parapanda parararira ni kuvuva (Vuva)
Vuuuuuuuu....vuva (Vuva)
Kivela kivuvuzela vuva (Vuva)
Trumpet man a trumpet ni kuvuva (Vuva)
Parapanda parararira ni kuvuva (Vuva)
Nawapenda sana marafiki
Mafans nyi ndo wangu mashabiki
Ki kaka haiwezi kukosa ka una sticki
Kibomb si kitamu morio ngori ka hakishiki
Ecouter
A Propos de "Vuva"
Plus de Lyrics de ZZERO SUFURI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl