ZZERO SUFURI Pandisa cover image

Paroles de Pandisa

Paroles de Pandisa Par ZZERO SUFURI


Ati, cheki pla, tukipla pla pla
Nimekula mchele na githeri ka pilau
Sa mimi ndio mi siwezi fanana na hao
Ju hata vako zangu haziendanishagi na zao

Ka safari basi ngoma naandika
Ka ni mboka basi kizibo pandisha
Ka ni mbio basi ni ka hundred metre
Na wakisleki nawapita ka stima kwenye mita

Ka safari basi ngoma naandika
Ka ni mboka basi kizibo pandisha
Ka ni mbio basi ni ka hundred metre
Na wakisleki nawapita ka stima kwenye mita

You can't be me don't wannabe
I heard my niggas calling you a wannabe
Yout want be me it's absurd to be
I always wanna be where I wanna be

Hamdrop mthfcker kwa micannabis
Moshi ni mingi kwenye niko huwezi kaa nami
Mafans wanipenda huwezi nikana mi
Am ubwogable omera cant bwoga me

Hii ni raha mtalola hii
Huu kijana ju hachezi amekuja biz
Bam bam gun blazing a dey shoot to kill
And your girl amenichase ona tiki free

Ka safari basi ngoma naandika
Ka ni mboka basi kizibo pandisha
Ka ni mbio basi ni ka hundred metre
Na wakisleki nawapita ka stima kwenye mita

Ka safari basi ngoma naandika
Ka ni mboka basi kizibo pandisha
Ka ni mbio basi ni ka hundred metre
Na wakisleki nawapita ka stima kwenye mita

Ati kizima hutembea niliachaga jo kutambaa
Kiubuda si unajua mambo ni mdaga
Hivyo ndo mi hukuwa mambo mingi ndio sinaga
Naifanya ju naipenda nikijua nitawabamba

Flow ni tight nilishafunga na kamba
Mistari kuzirembesha ziko tamu unaweza lamba
Niko high nika nimechoma kibanga 
Huwezi linganisha ka niko sober juu ya kustager
Angry poacher nyama haijainipita nigga
Inaitwa favour utadhani ni tripple sita nigga
Mafala wamedoz wamelalisha nigga 
Beat ni ya Chino kaboom Zzero Zzero jina

Ka safari basi ngoma naandika
Ka ni mboka basi kizibo pandisha
Ka ni mbio basi ni ka hundred metre
Na wakisleki nawapita ka stima kwenye mita

Ka safari basi ngoma naandika
Ka ni mboka basi kizibo pandisha
Ka ni mbio basi ni ka hundred metre
Na wakisleki nawapita ka stima kwenye mita

Kaboom hata sidai zishike 
Najikill na mangwai nidie faster
Na sina tuki nazichukua na kashfa
Fegi ni ngori unaweza choma upate cancer
Unaeza pata zimekwata uanze kutoka ma salsa
Buda ukidedi utaachia nani hizo marasa
Naeza fufuka niwatokelezee muanze kutoka rubber
That's a bad thing for another
Mi si mcatholic siendagi maranatha 

Yaani unaweza sema hivo bratha
Mi ni father najua bei ya pampers
Aah unaona wale matwin wana ass
Niendee kamoja nitakashikanisha na Bruno Mars

Ecouter

A Propos de "Pandisa"

Album : Pandisa (Single)
Année de Sortie : 2022
Copyright : (c) 2022
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Feb 27 , 2022

Plus de Lyrics de ZZERO SUFURI

ZZERO SUFURI
ZZERO SUFURI
ZZERO SUFURI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl