Paroles de Survey (Thankful Medley)
Paroles de Survey (Thankful Medley) Par ZZERO SUFURI
Eeh Jo, cheki
Nipeleke na rada I'm lost on my way
Nashindwa vile nitadu (Nashindwa vile nitadu)
Yangu natazama meli ikizama
I'm kinda confused (Kinda confused)
Guilty of the --
Never really mean't to heart you (Meant to hurt you)
Need an all time driver
Who's gonna drive me all through yeah
Nipeleke na rada I'm lost on my way
Na sijui vile nitadu (Na sijui vile nitadu)

Najua si perfect, love kwa casket
Hivyo ndo mi ulinizika
Sai naijua unapumzika
Sijui niende kanisa niombe umpende kabisa
Ulitushikanisha bado ametutenganisha
Reason being delicate pendeni hate
Hakuna kitu inaeza change na sitaki kukublame
Mapema nasema bye bye again I try try
Najua tu itakuwa imani yangu iko juu
Landlord kwa hodi
Ukibisha haitishi kwake kodi
Ukiwa uko guilty kwake say sorry
Everyday is a real ding ngori
Landlord kwa hodi
Ukibisha haitishi kwake kodi
Ukiwa uko guilty kwake say sorry
Everyday is a real ding ngori
Nipeleke na rada I'm lost on my way
Na sijui vile nitadu (Na sijui vile nitadu)
Yangu natazama meli ikizama
I'm kinda confused (Kinda confused)
Guilty of the --
Never really mean't to heart you (Meant to hurt you)
Need an all time driver
Who's gonna drive me all through yeah
Ecouter
A Propos de "Survey (Thankful Medley)"
Plus de Lyrics de ZZERO SUFURI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl