Paroles de Nimejam
Paroles de Nimejam Par KAPPY
Yoh Kappy, YP
Sijakung'ora
Niko mstii
(Siren on the Beat)
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
Psycho biz mi ni biz kwa soko
Utadhani ndani ya biz mi ni biz bazenga
Ndani ya kadinga jeshi yangu
Si unaskia mi ndio kusema
Warazi mazishi niliwazika mahali pema
Ka ni kuroga mi hurogaga ligi solo
Na mbogi ya the dipper leo nahukia fari bolo
Mistari zilicheza na zikashinda kikombe
Ndio maana nyi hutaka nirumbukizaga daila
Kama ni beef mi hufinikaga na poach
Usibishane na mi nikiteme more teasaga
Nyi muwapeaga siri zangu za kukafunga
So nikibonga naniii magoti chini
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
We huliza mbona daktari mbogi imegwaya
Ju ngoma zangu zote Nairobi ni kama choir
Na table unadishi siku hizi unaskii ni za wakuu
Si hubonga lugha moja na lugha ni za madoo
Ju kitu nafanya mi hufanyaga tizi na passion
Maziwa ni mimi na keki ni ya minors
Si toja na ndula zote nimedunga za Nike
Cheki raundi nakula Kayole dinga imevai
Na sijali ju moti imejaaga moshi ya ngwai
Najidai nimenyanyisha mistari ni high
Why lie mi hutoaga mahit ka zote
Ndio maana mistari mi hufeelingi ka nimeivisha
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
Naskia unaweza waroga
Na bado mi hukaranga
Naskia unaeza wadiss
Mi sio miss mi ndio beast
Naskia we ndio kusema
Maproducer watatii
Naskia unapatikana
35/60
Nimeweka tinga kinara nawakilisha
Na wakizoga waambie ndawabakisha
Nimeomoka walai mi huwatisha
Na niko na kadeng'a kwa keja mi hukaficha
Napenda akivuta mangwai masa akichachisha
Na Jeshi ya Manyanja Kayole yote zidisha
Kijana si ni dogo lakini ameshika doh
Pesa ni nyingi daily unaskia mi huzidara
Na jina ni biggy zigi unaskia mi ndio number
Hao wengine tusemange labda ni wannabes
Siwezi dishi chura mi huzikulanga mafinger
Mi huzichocha kuna masamu ringa
Mi rapper kuna masaa mi singer
Mi ni gangster na kuna venye mi huimba
Mi ni gava na stakangi wasanii wanaburn
Mi husakanga wasanii wanaroga mauwano
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Nimejam, leo nimejam
Naskia nipashe mbogi
Ju ya venye leo nimejam
Ecouter
A Propos de "Nimejam"
Plus de Lyrics de KAPPY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl