Paroles de Wapewe
Paroles de Wapewe Par KAPPY
Tuko Mirema zimetushika kitifin
Mogoka chok kejani movie ya Disney
Coz zimenikuta nafanya makukuru kakara
Na leo niko nyolo basi wapewe pewe
Mangoko wote, wapewe pewe
Niko nyolo wakolo ni wapewe pewe
Leo ni mabuda wapewe pewe
Hadi Konyagi Konyagi nawapewe pewe
[Exray]
Jack Jack naeza kuswaga
Ka Nicky na Caro naeza kulanga
Langa langa langa mtoto nalalanga
Manga manga manga nika nitakagonga
Uko dry sana ni kama kuna jangwa
Hakuna miti ni labda tupandaga manjwanga
Mamanyanga tuliachia makanga
Hauskii ni ka wote wamejipin kukumanga
Ukitoka hauskii namkeep keep
Ka hajaichange huskii nampea tip
Nikasip sip na tucheze madip dip
Nikikuja kesho naingiza mpaka deep deep
Tuko Mirema zimetushika kitifin
Mogoka chok kejani movie ya Disney
Coz zimenikuta nafanya makukuru kakara
Na leo niko nyolo basi wapewe pewe
Mangoko wote, wapewe pewe
Niko nyolo wakolo ni wapewe pewe
Leo ni mabuda wapewe pewe
Hadi Konyagi Konyagi nawapewe pewe
[Gwaash]
Gwethe gwethe
Ndo sauti hupiga kwenye cabin kila Friday
Kisogo moto kipara moto
Mi husema tu wapewe kwanza dem ametight
Pewa joh hadi fare
Kama jo ni wangora stage kama amesonga
Kijana wangu we horera mi huwaka kama warena
Waulize kwenye zabe si huwa tafash
Hii ni kitu si hufanya kila siku
Pika hits kwenye stu team Ganji to the world
Ndo hao mbogi ya mareka
We bazu ama fala hii doba ukiiskia
Utanyc to vitifin aii morio wangu
[Esco]
Tukate tusikate, kata
Tukate tusikate, kata
Leo ni Konyagi napeana wapewe
Nataka magoshodo wakate walewe
Tusere na Konyagi na mbogi ya wewe
Alulu kwa keja mi natingika
Konyagi ilichezaga juu ya tambla
Nastaga nikimedi nawaza vile nitamada
Nataka tujibambe tusele kirende
Matambla jo zinakuja dungia Milly ndo tukate
Tuserereke fiti maithaa ingine jo watekwe
Aah si watekwe
Tuko Mirema zimetushika kitifin
Mogoka chok kejani movie ya Disney
Coz zimenikuta nafanya makukuru kakara
Na leo niko nyolo basi wapewe pewe
Mangoko wote, wapewe pewe
Niko nyolo wakolo ni wapewe pewe
Leo ni mabuda wapewe pewe
Hadi Konyagi Konyagi nawapewe pewe
[Dmore]
Mtoto ako jing na tabia za Odi
Chini ya maji kuwadara si ni magwiji
Karasta kapedi kanauza punani
Tattoo amechora juu ya nyap na jegi
Morio ngori toa kutu piga miti
Kesi baadae kula hadi mizizi
Ni kanono kanavuta gode kama Nazizi
Kelele za chura wachia konkodi
Nawazalisha hadi huko Kamiti
Serikal toa mbio mtu kifisi
Jina Dmore Ochungulo ndo jezi
Aiiiii...
Tuko Mirema zimetushika kitifin
Mogoka chok kejani movie ya Disney
Coz zimenikuta nafanya makukuru kakara
Na leo niko nyolo basi wapewe pewe
Mangoko wote, wapewe pewe
Niko nyolo wakolo ni wapewe pewe
Leo ni mabuda wapewe pewe
Hadi Konyagi Konyagi nawapewe pewe
Ecouter
A Propos de "Wapewe "
Plus de Lyrics de KAPPY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl