Paroles de Why Lie
Paroles de Why Lie Par SUDI BOY
Why lie, why lie, why lie
Mimi mwenzenu wacheni nijidai na yeye
Why lie, why lie, why lie
Mimi mwenzenu wacheni nijidai na yeye
Haiya, haiyaa
Haiya, haiyaa, haiyaa
Nilikuwa nimejiinamia
Sina pa kukimbilia
Mola si haba kanijalia
Yaani kimwali kanipatia
Nyuma kigoda eeh
Angalia utasema kashushwa eeh
Aah utadoda eeh
Ata kwa Ferrari ukihonga eeh
Aah nusu mwarabu nusu msomali
Yake mabusu utakubali
Akinitouch nasikia thithi
Nabaki kama zuzu fulani hivi
Kama mgongoni mi nabebwa mie
Ah chakula kitamu mi napewa mie
Why lie, why lie, why lie
Mimi mwenzenu wacheni nijidai na yeye
Why lie, why lie, why lie
Mimi mwenzenu wacheni nijidai na yeye
Haiya, haiyaa
Haiya, haiyaa, haiyaa
Mimi kwake nimekolea
Kwa matamu alonipatia
Ye ni mtam tam haniishi ham ham
Maji ya sharubeti ama ya zam zam
Anajua kusoma changu kitabu
Anapokuwa mbali napataga taabu
Anavyozipiga hizo mbizi
Sita kwa sita hadi deep sink
Mpira nyavuni hakosi
Usingizi wa pono mwenzenu mi sitoshi
Anavyozipiga hizo mbizi
Sita kwa sita hadi deep sink
Mpira nyavuni hakosi
Usingizi wa pono mwenzenu mi sitoshi
Why lie, why lie, why lie
Mimi mwenzenu wacheni nijidai na yeye
Why lie, why lie, why lie
Mimi mwenzenu wacheni nijidai na yeye
Haiya, haiyaa
Haiya, haiyaa, haiyaa
Mwenzio sina budi(Oooh)
Mi nataka magundi(Oooh)
Chamcha ni Sudi, cha jioni ni Sudi
Imebaki makusudi(Oooh)
Nishapiga saluti
Kwako sifurukuti
Sis P we ni mcute
Nami unanisuite
We tai mi suti(Oooh)
Pa pa pam taratarara
Tarara tarara
Ntarara tarara..
Sis P Baba D, Sudi B
Iyee eeh
Tarara tarara
Ntarara tarara..
Iye iyee iyeee...Oooh
Ecouter
A Propos de "Why Lie"
Plus de Lyrics de SUDI BOY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl