Paroles de Haina Kwere Par SUDI BOY


Dj Deklcak
Zum zum zum zum, aah
(Sadafah)

Ni Zzero kama sos mi ndio sos
Mi ndio boss, mi ndio

Ulila dede, machero 
Ganda kaa la shwari bebe
Oh dede usinicheue
Ataka la flari hadai sembe

Oh baby niko full 
Kwanza nishafunga mkanda
Tayari kupambana

Nitakesha usiku mchana
Nikumiliki bwana
Nikikosa tumuombe sana ye Jalali
Tukitoka kapa we 
Tumuombe sana ye Jalali

Haina kwere, haina kwere
Haina kwere
Haina, ugali tutapata

Haina kwere (Haina)
Haina haina (Haina)
Haina kwere
Haina mpenzi wangu tutapata

[Exray]
Kama unasema ati mtoto wa balaa
Wa kutanga, atakufanya wewe chizi
Maskele ni ngala ngala 
Huyu girla, atakufanya uwe mwizi

Wa kizungu siwezi
Aki ya Mungu she just stole my heart
Nina nguvu kishenzi
Aki ndugu, all I got is us

Bad boys like you
I need a bad boy like you, you
Bad girl like you
I need a bad girl like you, you

Mama mia sijai fika Karatina 
No kwenyu near, nakunywaga Muratina
Gosh mafitina ng'oka mushina 
Sina bima, njoo kwangu dinner

Haina kwere, haina kwere
Haina kwere
Haina, ugali tutapata

Haina kwere (Haina)
Haina haina (Haina)
Haina kwere
Haina mpenzi wangu tutapata

Cheki tukichuna hata usiseme
Nishike ka kajaba 
Alafu unifanye nisikuteme
Wako nifanye na upende
Taja kila mahali unadai si twende

Najua ni dem machali wote wadai kudate
Najua kuonyesha Dv anaweza relate
Usihesitate ukiwa na mimi we tinga gate
Debate itabaki kwani morio aliku-illuminate

I'mma a badboy round ingine natinga
Ju ya ku-sign macheck sana 
Huskii nilishakatinga
Mi hubuy mandula ndula na doh za zimenishika
Na bado maplatnumz waanze kuniconfuse na simba
Yeah yeah

Haina kwere, haina kwere
Haina kwere
Haina, ugali tutapata

Haina kwere (Haina)
Haina haina (Haina)
Haina kwere
Haina mpenzi wangu tutapata

(Dj Deklack)

Ecouter

A Propos de "Haina Kwere"

Album : Haina Kwere (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Aug 29 , 2020

Plus de Lyrics de SUDI BOY

SUDI BOY
SUDI BOY
SUDI BOY
SUDI BOY

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl