Paroles de Lawama
Paroles de Lawama Par SUDI BOY
Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Nitammanga nikiwa jaba
Odi wa Murang'a nathobotha morigo
Kiboko iko biggy katakula magego
Sijui ni ka Nyeri ama Lokichogio
Na mimi nitachimba ki ogichagi yo
Nunu iko bushy enda ufyeke kwanza
Ita mtu ya nduthi na uteme jaba kwanza
Hii kilalo ya juzi chuki supu ya mala
Ni kizazi cha juzi kuiva mbichwa na mabang'a
Mtoto si ana turi ni ka amebebea kijiji
Kukaza sana kunyi ni kama amemeza firimbi
Naona mbili mbili ni kama nimeguchia fagi
Kumangana sana chuma ishamwaga rangi
Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Nitammanga nikiwa jaba
Mbus mbus ako taki ya mjulus
Ah juju imebaki guru aah
Nyanya kwanza kimahuru
Hadi mtoto bana atatoa ushuru
Na ni vum washa kishada ndani ya moti
Na ni dum mambaru kwa giza wakukembe
Kukichum nyanya kabisa ubonde sura ka cartoon
Wasupa wameseswa na mamorio ni magoon
Chura atokwe hadi abaki amefyum
Athoshwe na kimiti hadi abaki map2
Kemba msupa niko pin na kidungi
Mbleina mtungi anza kivumbi
Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Nitammanga nikiwa jaba
Ameweka lawama venye ameinama
Anapiga nduru ju already imezama
Toto ako fiti anapenda kata waba
Usiku mchana mchuma inalala
Aluta na jaba kutuna ufaya
Mashuka marasa kushuka kurushwa
Janki wako wengi kuwatoka kuwafurusha
Kuguza kapusa kunusa kunuka
Katambe kalambe kamange katage
Kajunior katakuja katakuwa kikusa
Kataitwa Njeri ama Tasha ama Lisa
Fisi wafisi katasema kameriswa
Ananipa bila ya kesi
Nacheza mechi bila jezi
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Toto lawama, akichutama
Toto dimanga nitammanga nikiwa waba
Nitammanga nikiwa jaba
Ecouter
A Propos de "Lawama"
Plus de Lyrics de SUDI BOY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl