Paroles de Hapo
Paroles de Hapo Par RJ THE DJ
Mmmh walai,
Haki ya Mungu utanitapisha nyongo
Mimi mwenzio, masebene sijazoea
Walai, tutatoana vyongo
Kwako mi mwenzao
Noketea mwisho pata potea
Nisharanda randaga mie
Kutafuta kiponzio
Mara machungu yanazidigi tu
Haya ni matabu
Nishaumizwa umizwa mie
Haya manusu yanitoke roho
Chini upweke manyanya msuko juu
Mmmh
Angalau kwako napata nafuu
Aaah eeh aah eeeh
Na nimeridhia,
Ulipokusanya kwenyewe
Hapo, usiongeze ndimu
Usipunguze chumvi ushanichanyanya
Hapo, umenishika nishikilie
Nisije ponyoka
Hapo, uzikwe na miee...
Hapo, aaah yeah yeah yeah mmmhh..
Ukifanya unavyofanyaga
Kama niko peponi mwenzio
Yaani naona raha
Narudi utotoni mwenzio
Ladha yake pizza kwa burger
Mie kisogoni yeah
Hata wiki tukikeshaga
Nabaki kusong'oni mwenzio
Kwa penzi lako nimekuwa teja
Nipeleke sober hatua mbaya
Maana kila nikikuona
Nawaza kutinga tinga
Angalau kwako napata nafuu
Aaah eeh aah eeeh
Na nimeridhia,
Ulipokusanya kwenyewe
Hapo, usiongeze ndimu
Usipunguze chumvi ushanichanyanya
Hapo, umenishika nishikilie
Nisije kaponyoka
Hapo, uzikwe na miee...
Hapo, aaah yeah yeah yeah mmmhh..
Ecouter
A Propos de "Hapo"
Plus de Lyrics de RJ THE DJ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl