Paroles de Sina
Paroles de Sina Par RJ THE DJ
RJ the DJ, All day baby
Aaaah, This goes out to all lovers and Friends
Friends and Lovers, and hmmm
Make sure you dedicate this song to the one you love Tafadhali,
you hear me already
Tena nakupa khabaari
ipulike kwa makini
Mahaba hayana siri
Ndio nami nabaini
Nimekupiga muhuuri
Hapa mwangu kifuaani
Basi baby don't worry
I love you sweety honey
We ndo udi la waridi (aaaaahaa)
Wangu lulu marijani
Mola kanipa zawadi (aahaa)
Nzuri ilo thamaani,
Mimi kwako nishafika (aahaaa)
Kwingine sikutamani
Wanipa rahaa
Mwingine simtamani
Wangu honey hayuni
Mapenzi yako jamani
Wanipumbaza akili
Mwingine simtamani
Tupendane kwa yakini
Niwe wako wangu mimi
Tushakula na yamini
Me nawe mpaka peponi
Aahaa… aaahaaa… aahaaa
Mwingine sinaa (aaah)
Mwingine sina (aaaahaa)
Sina mwingiine
Nimetulizana baby
Mimi ni waako daiima
Kwako nishafika hunnie
Acha puupa paparaa
Unidekeze tucheze chezee
Umeniteeekaaa…
Wangu honey hayuni
Mapenzi yako jamani
Wanipumbaza akiili
Mwingine simtamani
Tupendane kwa yakini
Niwe wako wangu mimi
Tushakula na yamini
Mi nawe mpaka peponi
Aahaa… aaahaaa… aahaaa
Mwingine sinaa (aaah)
Mwingine sina (aaaahaa)
Sina mwingiine
Ladies and gentlemen
They call me RJ The DJ and hmmm… Thank you so much for listening
AWOOTE
Ecouter
A Propos de "Sina"
Plus de Lyrics de RJ THE DJ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl