Paroles de Kelebe
Paroles de Kelebe Par RAYVANNY
Haya makelebe, haya makele
Haya makelebe, haya makele
Haya makelebe, haya makele
Haya makelebe, haya makele
[Innoss' B]
Dance for me will you make me spend my money
I watch you like a movie we demu ni balaa
Very very talented we dem ni balaaa
Balaaa!
Dar es Salaam ayo (Ayoo ayoo)
Manna Congo ayo (Ayoo ayoo)
Yokobina ayo (Ayoo ayoo)
Ale moto mama kelebe, aya makelebe
Pace iko makelebe, aya makelebe
Jikune ma kelebe, aya makelebe
Ananipa kelebe, aya makelebe
Oya kakatika kelebe, aya makelebe
Si jina kelebe, aya makelebe
Ati nyonga nyonge kelebe, aya makelebe
Kanipa kelebe, aya makelebe
Nakashika nakakamata
Mpaka chini chini kanakikata
Akiwika nakapakata
Hadi chini chini nakakamata
Dar es Salaam ayo (Ayoo ayoo)
Bana Congo ayo (Ayoo ayoo)
Nacheza kibosi bosi
Usinishike we utanichafua
Basi toa leso
Jifute jasho hata kama kuna jua
Jifute jifute, jifute jifute
Jifute jifute
Ukichoka kushoto jifute kulia oo
Jifute jifute, jifute jifute
Jifute jifute
Faya warudishe shule
A, E, I, O, U
A, E, I, I, O, U
Leta Mambo
Doni Fumbwe nasalimia mkubwa Fela
--
(Kamix Lizer)
Ecouter
A Propos de "Kelebe "
Plus de lyrics de l'album Sound from Africa
Plus de Lyrics de RAYVANNY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl