Paroles de Nitakucheki
Paroles de Nitakucheki Par RAPCHA
Rapcha
(International waoneshe)
Kama umenikosha hivi
Siwezagi kuzama simple
Usione umenishika akili
Usije ukajidanganya hivyo
Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu)
Aaaaaah (Ila umenichangaya mno)
Aaaaaah (Basi we tulizana tu)
Aaaaaah (Si tunaeza Bonga baadae?)
Ntakucheki....(Ntakupigia)
Ama utanicheki
Will you check on me?
Ntakucheki... (Ntakupigia)
Ama utanicheck
Will you check on me!!
Coz I know good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
Najua good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
Na huo uzuri ulionao afu naskia hii dunia tunapita
Sasa unabana ya nini
Secretary mzuri ukicheki muda saa sita
Usishangae kumuona boss kazini
Najua kukung’oa sio easy! No!
Ila ukinitema itanikata ka Kahaba akiwa period
Kuvimba, kunata sio Password
Hata uniangalie vibaya leo ntakusemesha tu
Basi navyokucheki una mute
Nahisi ka umenipenda pia ka moyo puh puh
Yani hauna break mbio tu
Sio siri umenichanganya ka milango ya push and pull
Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu..)
Aaaaaah (Ila umenichangaya mno )
Aaaaaah (Basi we tulizana tu)
Aaaaaah (Si tunaeza Bonga baadae)
Ntakucheki....(Ntakupigia)
Ama utanicheki
Will you check on me!!
Ntakucheki... (Ntakupigia)
Ama utanicheck
Will you check on me!!
Coz I know good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
Najua good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
My love ooh my love
I go mad for your love babygirl
My love ooh my love
I go mad for your love babygirl
Ecouter
A Propos de "Nitakucheki"
Plus de lyrics de l'album Wanangu 99
Plus de Lyrics de RAPCHA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl