
Paroles de Sometimes
...
Paroles de Sometimes Par RAPCHA
Sometimes, sijui ni nini kinachoendelea inside my head
Naamka ingawa nimechoka najua solution siwezi kuipata kwa bed
Nakua na hasira kinoma sometimes, inahitaji hekima kuidhibiti
Nikishampiga kiss Mary Jane, day ndio inaanza kuwa lit
Sometimes, nahitaji kuspend muda wa kutosha na family
Shida inakuja kuwa huo ndio muda natafuta ugali wa family
Natia mashaka ninaowaamini sometimes, najua maumivu ya usaliti
Na Ninaamini watu nisiowajua sometimes ingawa naweka limits
Moyo ni tough ka mike tyson ila sometimes unaweza anguka
Nakua mpole ka Michael Jackson ila sometime nakua Tupac
Kuna mipaka haiwezi vukwa maana respect haiwezi shuka
Vita ya maneno haiwezi zuka maana ofcoz hiyo stage tumeshavuka
Sometimes natamani ku fake death ili nikaanze maisha somewhere
Ila nitaacha maumivu nyumbani yatakayonitesa ninakoelekea
Inabidi nifanye maamuzi magumu sometimes kuupa moyo wepesi
Na Sometimes, Ukimya unakuaga very loud na ni bonge la defence
Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii
Naomba sana Mungu aniongoze afuatane na mi
Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii
Mbali na mi
Ipite mbali na mi
Natamani nilie sometimes ila kama kidume ntajiona nimeanza kuwa soft
Na kufunguka yanayonisibu nahofia mbeleni itakuja nicost
Naamini Mungu ananilinda na mengi ndo maana sometimes sihitaji kuforce
Ili anipe akili ya kutunza faida ninaonja kwanza loss
Nawaumiza ninaowapenda sometimes, najikuta sina jinsi
Na nazingua makusudi sometimes lawama nazitupa kwa Ibilisi
Naacha ninaowapenda waende sometimes
Inakuaga crazy sometimes
Nawapiga chini hadi ndugu
Nimeanza kuwa sugu wa maumivu
Nashindwa kuwa bubu sometimes
Nna agh
Ninakua na idea za kufanya mambo makubwa sometimes
Lakini Adui namba moja anaetukwamisha ni uoga tu most of the time
Kilio kinaweza kuibuka tu ndani ya dakika unayocheka sometimes
Na msaada mkubwa unaopokea, ndo anguko lako sometimes
Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii
Naomba sana Mungu aniongoze afuatane na mi
Staki kuendeshwa na presha ya chochote cha dunia hii
Mbali na mi
Ipite mbali na mi
Uuuh
Mbali na mi
Ipite mbali na mi
Uuuh
Mbali na mi
Ipite mbali na mi
Ecouter
A Propos de "Sometimes"
Plus de Lyrics de RAPCHA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl