ZUCHU Hujanizidi cover image

Paroles de Hujanizidi

...

Paroles de Hujanizidi Par ZUCHU


Haayaa haayaa haayaa haya

Ooooh ooooh hayaaaa hayaaaa

Haaaaya

Yani mara kumi ungekuwa mbaya

Halafu ungekuwa na hela

Lakini tatizo lako mbaya

Halafu hauna hela

Ni mara kumi ungekuwa kijuso

Halafu ungekuua na hela

Ila tatizo lako kijuso

Halafu hauna hela

Ah, sa mbona unapata tabu kujichubua

Taka huna unafosi kujibinua

Baby wangu hajadata na chura ka hujajua

Kadata na mambo matamu nnayomgea

Nkwambie wewe

Ha kwa uzuri hujanzidi mimi

Kwa utamu hujanzidi shoga yangu

Kwa uzuri hujanzidi mimi

Kwa utamu hujanzidi shoga yangu

Na huyo baby wako alikuwa wa kwangu

Kabla ya kuwa wa kwako

Hauniambii kitu kuhusu yeye

Hata kulala alilala kwangu

Kabla ya kulala kwako

Kwahiyo unitishi mbwa wewe

Oya wee

Hakuna ulichonizidi cha kunipa stress

We nyota yako ya kuni mie mwenzako ya gesi

Mwenzako uzuri wako natural sio wako wa kufeki

Mwana mwenzangu una rangi nyingi ka kombatí ya jeshi

Sa mbona unapata tabu kujichubua

Tako huna unafoci kujiinua

Baby wangu hajadata na chura ka hujajua

Kadata na mambo matamu nnayomgea, nikuambie wewe

Kwa uzuri hujanzidi mimi

Kwa utamu hujanzidi shoga yangu

Ooh kwa uzuri hujanzidi mimi

Kwa utamu hujanzidi shoga yangu

Haunitishi hunisumbua, hujanzidi mimi

Jiangalie kuvaa hujui, hujanzidi mimi

Wanangu baado sijaskia shangwe

Kama umeme umerudi (huoooooo)

Masela bado sijaskia shangwe

Kama umeme umerudi (huoooooo)

Ai mara tena umekataa (ahhhhh)

Mama mara tena umerudi (huoooooo)

Wewe mara tena umekataa (ahhhhh)

Twende show me gidi gidi, gidi

Baby gidi gidi, gidi

Twende gidi gidi, gidi, gidi wee

Gidi gidi, gidi

Kwanza muone ampepandwa na ibilisi

Alikaa pembeni hivi sasa ameingia kati

Ona mwili mkubwa kumbe kibonge mwepesi

Kulia kushoto, dunda kama kitenesi

Twende sasa gidi, gidi, gidi

Gidi, gidi, gidi

Twende gidi gidi, gidi, gidi

Gidi, gidi, gidi

Hapo, kwanza ncheke aaaahh

Oya we

We heli goma noma kwani amelipiga nani

Mana wanafanya wanangu

Jama wanabamba shetani

Weli goma noma kwani amelipiga nani

Maana wanatoa mashati

Kwenye miti wanachuma majani

Oya wanachuma majani

Wanaleta majani mama wanachuma majani

Wanaleta majani oya

Diblo nipenipe

Nipe tena

Diblo nipenipe

Nipe tena

Ecouter

A Propos de "Hujanizidi"

Album : (Single)
Année de Sortie : 2025
Copyright : Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Ajouté par : Farida
Published : May 24 , 2025

Plus de Lyrics de ZUCHU

ZUCHU
ZUCHU
ZUCHU

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl