
Paroles de Nobadi
...
Paroles de Nobadi Par RAPCHA
99 what’s up?
Mfoy
Mfoy
Mfoy
Mfoy
Famous au Unknown
Maisha yamenifunza stand alone
Pale ninapoona respect is gone
I burn that bridge and i swim back home
Na kukaa kimya sio sign ya weakness
Huwezi kaa kimya kama we sio strong
Sihitaji bow down ili nikuoneshe nakuheshimu and siezi ata change my tone
Kama tuna ishu tunakaa nkuombee
Mi uoga nimezika R.I.P
Huwezi kuniface don’t text me
Nipo unavailable, D-N-D
Nkitafuta wa kumuhofia najiona ka kipofu coz’ i can’t see nobadi
God eyes watching over me
That’s why siwezi fear nobadi
That’s right
Siwezi fear nobadi
Siwezi, siwezi fear nobadi
Nitazame usoni hata sihofii
Maana mi siwezi fear nobadi
I can’t see nobadi
So siwezi fear nobadi
Nitazame usoni hata sihofii
Maana mi siwezi fear nobadi
Pale Ukiwa juu unapaa washkaji huwa ni wengi, circle inazidi ku’expand
Wana watakuacha tu u’fly
Watakupa mawazo ya kujenga sana ukiwa una’land
Standard zake kazi’set very high ili tu machizi wenye dow ndo wamg’oe
Na kwa jinsi ambavyo anatamani kuionja fame siku moja nitamuweka halafu nimtoe
Kama tuna ishu tunakaa nkuombee mi
Uoga nimezika R.I.P
Huwezi kuniface don’t text me
Nipo unavailable, D-N-D
Nkitafuta wa kumuhofia najiona ka kipofu coz’ i can’t see nobadi
God eyes watching over me
That’s why siwezi fear nobadi
That’s right
Siwezi fear nobadi
Siwezi, siwezi fear nobadi
Nitazame usoni hata sihofii
Maana mi siwezi fear nobadi
I can’t see nobadi
So siwezi fear nobadi
Nitazame usoni hata sihofii
Maana mi siwezi
Over me
Siwezi fear nobadi
Sihofii
Siwezi fear nobadi
Sihofii
Ecouter
A Propos de "Nobadi"
Plus de Lyrics de RAPCHA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl