Paroles de Unikumbuke
Paroles de Unikumbuke Par CHRISTINA SHUSHO
Unikumbuke Baba
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Usinipite Yesu
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Unikumbuke Baba
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Usinipite Yesu
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Usinipite, usinipite
Usinipite, usinipite
Yesu naomba unikumbuke
Mnyonge mimi dhaifu mimi, unikumbuke
Na mama utaka kunyonyesha, umkumbuke
Ona huyo asiye na kazi, mkumbuke
Lazima na wajane wanalia, uwakumbuke
Kijana huyo ataka mwenzi, umkumbuke
Na mwingine huyu ataka elimu, umkumbuke
Umasikini sasa ndio wimbo, utukumbuke
Nchi nzima vilio vimetanda, utukumbuke
RUnikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Usinipite, usinipite
Usinipite, usinipite
Yesu naomba unikumbuke
Ewe mwenyezi Mungu mwenye rehema; mwingi wa utukufu
Bwana wa viumbe vyote
Muumba wa mbingu na dunia
Twakuomba kwa unyenyekevu utupe hekima na busara
Sisi waja wako tuliokusanyika hapa
Uibariki Tanzania iwe nchi ya amani
Na wote wanaoishi humo wawe na upendo halisi na umoja
Serikali yetu na viongozi, uwakumbuke
Waongoze nchi kwa hekima yako, uwakumbuke
Uchumi wa nchi yetu Baba, uukumbuke
Bunge pia na mahakama, uikumbuke
Sikia kilio cha watanzania, utukumbuke
Majibu ya matatizo yakoke kwako, utukumbuke
Tazama majanga yanayotukumba, utukumbuke
Ajali nyingi twazika wengi, utukumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Usinipite, usinipite
Usinipite, usinipite
Yesu naomba unikumbuke
Unikumbuke Baba
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Usinipite Yesu
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Unikumbuke Baba
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Usinipite Yesu
Unapowazuru wengine naomba unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Usinipite, usinipite
Usinipite, usinipite
Yesu naomba unikumbuke
Ecouter
A Propos de "Unikumbuke "
Plus de Lyrics de CHRISTINA SHUSHO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl