Paroles de Vitamu
Paroles de Vitamu Par PLATFORM
Ah haba mama, nishakutana na wengi
Ila we umeniweza oh my darling
Mengi yalisemwa, ulishatoka na wengi
Masikio ikaziba, oh my darling
Acha moyoni nikuweke wewe pekee
Huniishi hamu
Acha maneno yawatoke wapige ngepe
We nipe vitamu
I’m ready to die, for I love to fight
Oh baby leo mpaka kesho milele
I’m ready to die, your love is on fire
Oh baby, tufe tuzikwe wote
Acha nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Nami nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Umeniheshimisha oh baby
You are my ginger mwingine sioni
Roho yatakatika oh raha darling
Chozi umenifuta kwa penzi lako baby
Chanda chema ni wewe nivipepete
Nitakupenda milele tuzeeke wote
I’m ready to die, for I love to fight
Oh baby leo mpaka kesho milele
I’m ready to die, your love is on fire
Oh baby, tufe tuzikwe wote
Acha nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Nami nikupe vitamu, vitamu, vitamu
Baby nikupe vitamu, vitamu, vitamu
I’m ready to die, for our love to fight
Oh baby leo mpaka kesho milele
I’m ready to die, your love is on fire
Oh baby, tufe tuzikwe wote
Ecouter
A Propos de "Vitamu"
Plus de Lyrics de PLATFORM
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl