Paroles de I Do
...
Paroles de I Do Par PLATFORM
Baby we ni maji
Umenisafisha matope yote
Na kama ni kipaji
Umebarikiwanga kuliko wote
Macho tabasamu lako
Nyoyo zimeridhiana
Kwingine sina hofu nina hofu yako
I’m sorry tukikoseana
Na tuame dunia tukaishi wawili tu
Kama ikitokea wakuchagua ni wewe tu
Kama ikitokea wakuchagua ni wewe tu
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Amini sina cha kukupa
Zaidi ya mapenzi kukuridhisha
Eh hayo magari majumba
Siunajua vyote ni vya kupita
Nakupa moyo wangu kama zawadi
Nakupa akili yangu kama zawadi
Nakupa mwili wangu kama zawadi
Pokea kama zawadi
Na tuame dunia tukaishi wawili tu
Kama ikitokea wakuchagua ni wewe tu
Kama ikitokea wakuchagua ni wewe tu
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Please say I do (I do)
Say I do (I do)
Ecouter
A Propos de "I Do"
Plus de Lyrics de PLATFORM
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl