
Paroles de Mapepe
Paroles de Mapepe Par PLATFORM
Kama ikitokea amani ya moyo imetoweka
Ah bora kunizika, kuliko kukukosa
Eh Nahata kama ikitokea nipo kwenye shida
Aah mi nimeridhika siwezi kukutosa
Mmmh alafu nikwambie ewe eeh umeishika pumzi
Pumzi ya mapenzi
Chochote niambie ewe eeh
Yani kama chizi chizi wa mapenzi
Nami virago vyangu ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakuta wewe eh
Lango ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakutaka taka
Aaah aaah aah aah aah aah
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Aaah aaah aah aah aah aah
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Mmh nimetulia tulia alafu nina amani hasa ninapokuwa na wee
Eeeh tulichumia vya juani tukaishinda mitihani ah wewe
Mimi furaha yangu ndio wewe
Aah wewe ndio hao marafiki vijini mmh
Wasiopenda uwe na mimi
Mmh
Watasubiri subiri eeh iye
Walidhani hutokua wa mimi
Ona wanavyodhalikika sie tunapeta na jiji
Nami virago vyangu ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakuta wewe eh
Lango ndo nishafunga
Moyo umekuchagua
Unakutaka taka
Aaah aaah aah aah aah aah
Aaah aaah aah aah aah aah
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Nimetulia nimetuli sina mbambamba
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Aah nimeunaliza mwendo aah mwendo mwendo
Ecouter
A Propos de "Mapepe "
Plus de Lyrics de PLATFORM
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl