PLATFORM Atajibeba cover image

Paroles de Atajibeba

...

Paroles de Atajibeba Par PLATFORM


Eeh

Ooh oh

Hei, mr lover eeh

Ooh ooh ooh

Eti mi nay eye ndo basi tena

Eti, akiniona kichefuchefu

Eeh eti, hanipendi tena aah

Akiniona ata tapika

Mbona kila kwenye mbili

Nilimfanya yeye wa kwanza

Wala sikufikili angenigeuza pakacha (pakacha)

Ooh sina lile wala hili

Eti mara paa, kaniacha

Licha ya mabaya yake na kuyanfanya yangu

Ooh basi mwambieni

Kisicho riziki

Ooh leo chalika

Ng’ari ng’ari

Alikiona cha nini

Utakipata lini

Aah ah, leo chalika

ng’ari ng’ari

Heee, sa mwache ajibebe

Atajibeba aah, atajibe atajibeba

Atajibeba, atajibe hata awake vigenge

Atajibeba aah, atajibe atajibeba

Atajibeba ooh, atajibe

Na kama, penzi maua aah

Lilichanua kwake, likasinyaa

Na kama, angelijua aah

Nilivyo jitoa juu yake, asingeniache mataa

He he eh, alinikatili kwa penzi la kuigiza

Na tabasamu usoni kumbe uozo ndani viza

Sijui nazi alibabili ama alininyunyiza

Nilikua sisikii sioni

Bora nimempata mwingine

Vijembe mama vijembe (tara tara)

Ananipiga vijembe (tara tara)

Kuona nalishwa peremende (tara tara)

Wali kwa juisi ya tende ona sasa

Vijembe mama vijembe (tara tara)

Ananipiga vijembe (tara tara)

Ye si ndio aliniumiza (tara tara)

Sa simtaki mwache akwe nde, atajibeba

Atajibeba ooh, atajibe atajibeba

Atajibeba atajibe (acha aweke vikao)

Atajibeba aah, atajibe atajibeba

Atajibeba

Limemshuka shu, mmemuonae

Haunitishi tishi, (enhee) haunibabaishi

Haunitishi tishi haunibabaishi

Kwa hivyo vijipost vyako

Haunitishi tishi, (enhee) haunibabaishi

Haunitishi tishi haunibabaishi

Vika kapsheni na vifilter vyako

Haunitishi tishi, (enhee) haunibabaishi

Haunitishi tishi haunibabaishi

Ecouter

A Propos de "Atajibeba"

Album : (Single)
Année de Sortie : 2024
Copyright :
Ajouté par : Farida
Published : Aug 23 , 2024

Plus de Lyrics de PLATFORM

PLATFORM
PLATFORM
PLATFORM
PLATFORM

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl