Paroles de About Me
Paroles de About Me Par CONBOI
Straight to the point to tha !
Straight to the point to the point no faking huh!
Straight to the Okay ! no faking
Take it ! yeah ! look!
Straight to the point to the point no faking
Never regret steps im taking
Utaniona chizi about risks im always taken
Break them rues some rules were meant for breaking
Yeah street life we born with it
Hatujui kuomba tukihitaji we go and get it
Hivyo ndivyo we learned ain't no kidding
Real cold hearted niggas with no feelings
Tunachoamini the main focus is to stay focus
Nishapuyanga kinoma nusu niwe fucking hopeless
Katikati ya jiji bila ya msaada
Grew up in this bitch without my father
Kwa mama ilikuwa shida so ikabidi tuu
Hata secondary sikufika mi nika quit school
Ndugu waliona tumesha fail
Baada ya mirathi hata sisi tukaona kweli
Yeah I was young wakihisi mi ni fool
Kwa kuwa nilikuwa mtoto peke yangu wakadhani it was cool
Wajomba walieuka kuwa matapeli
Ili mambo yao yakae tuu kwenye rail
Listen Umri unakwenda nishakariri now
Still remeniscing on them days I was really down
Kitu kimoja sintosahau
I told my mama ipo siku tutasahau
Said that we never gonna make it
Only GOD knows how we made it
Wengine binadamu kama mimi
So I ain't gotta worry about shit
Said that we never gonna make it
Only GOD knows how we made it
Wengine binadamu kama mimi
Dont give a fuck if you talk shit about me
Bout me! Bout me! Bout me!
I do this for my mama whatchu talking bout me
I dont even know how to rest round hii
Fuck you haters whatchu talking bout me
Look huh! Kitu Pekee unapaswa ukitambue
Maisha yalikuwa magumu nilitaka tujikwamue
Na hakuna maisha ya haraka lazima ukamue
Tofauti ya pale ulipo cha kwanza inabidi ukuwe
Huh! na ukuwaji nnaosema ni tofauti ya age
Ni zaidi ya kitabu with alotta pages
Kufika ni lazima upitie stages
Gotta let your vision be outragious
Inspiration is gettin hard to fake it
Concentration is never hard to break it
Kama ingekuwa ni uoga tungehisi tumesharogwa
Maana maisha tulioyaona is so hard to make it
Ilifikia wakati tukaona kama ni mzaha
Maisha yalichange ma' hakujua ingeweza happened like that
Alikosa usemi at the moment alikuwa ameduwaa
Shida nyingi nusu kukata tamaa we say Alhamdulillah
Tunashukuru mungu coz sasa imekuwa tofauti
Mwanzo yalikuwa machungu tulitamani hata umauti
Teana ile time tuliyotengwa na familia
Hakukuwa na mtu yoyote wa kutusaidia
Umri unakwenda nishakariri now
Still remeniscing on them days i was really down
Kitu kimoja sintosahau
Kipindi kile wale wote waliotudharau shit!
Said that we never gonna make it
Only GOD knows how we made it
Wengine binadamu kama mimi
So I ain't gotta worry about shit
Said that we never gonna make it
Only GOD knows how we made it
Wengine binadamu kama mimi
Dont give a fuck if you talk shit about me
Bout me! Bout me! Bout me!
I do this for my mama whatchu talking bout me
I dont even know how to rest round hii
Fuck you haters whatchu talking bout me
Bout me! Bout me! Bout me!
I do this for my mama whatchu talking bout me
I dont even know how to rest round hii
Fuck you haters whatchu talking bout me
Ecouter
A Propos de "About Me "
Plus de Lyrics de CONBOI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl