Paroles de Commercial Break
Paroles de Commercial Break Par CONBOI
(Gih cue on Another one)
Nishasikia watu wanakufa kwa ajili ya ciggaretes
Ila sijasikia cha ukucha kinaweza kuuwa yet
Na ukifuatilia utkuta tuu kwenye internet
Wanaoshikiliwa ni wanaokutwa wakilipua jet
Na nishalipua jet now nigga i need a gas light
Siogopi police napuliza kwenye sky aight!?
Dont be so uptight nishaanza kuona mna back bite
Nobody go to jail for cross in the streets against the lights
I guess it’s like amani ipo Tz uki-classify
Ila kilasiku tuko busy tryin to passify
This fucking life ya bongo unaweza ukawa kichaa
Wahuni ndio tuna survive
Alotta hommies gone it feels so fucking bad
Shit is real nahitaji thrill to chill
Crunch time nigga gotta bills for real
Vyuma vimekaza ila im never gonna steal
Coz mwenyewe nakaza najua kupata ni peace meal
Aaargh! Grown man najua sijawahi zingua
Naridhika nnachopata cha mtu sitachukua
Napambana coz najua naamini kila hatua ni dua
Nishagundua unaemuamini ndie anaekuuwa
Na ishakuwa desturi sikuhizi mpaka washua nao wanalipua
Na sio rahisi kuwagundua maana wanauchubua
Lakini wahuni kama man pua ndio wanakisanua
Popote hata mchana kwenye jua huh!
Na unavyojua mtu akishastua
Wenge likipanda anaweza kulala hata kwenye mvua
Ndio maana wakituona stoners wanahisi tunazingua
Mtaani tukipishana wanahisi tutawakwapua huh!
Watu wakiamua , wanaweza hata kukuchafua
Unaweza hata kumpasua anayejifanya anakujua
Atafanya kakunja pua ajifanye kasikia puya
Hata kama sio mgonjwa atajifanya anasikia mafua huh!
Ma-rastafari huh! Wana-believe
Doobie inasaidia huh! Stress relief
Na kama inakutesa grief huh! You need a leaf huh
Dont sip no alcohol you dont need that shit!!
Shiiiit!!
Ecouter
A Propos de "Commercial Break"
Plus de Lyrics de CONBOI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl