Paroles de Bonanza
Paroles de Bonanza Par CONBOI
Nafunga macho nikijaribu hata ku-meditate
So hard nahitaji lazima ni-concentrate
Niliyopitia hayajanifundisha mi ku-hesitate
Siwezi laza mguu chini kama home hapako fresh
Yes! Sometimes lazima u-force ndio utusue
And thats the way you learn how you've got to do it
Kuna wakati unaweza hata kuwa insane
Maana hakuna wa ku-blame its a shame bora tuu uuchubue
Smoking them doobie tunahitaji hata ku-get away
Tukiwa maskani tuna imani we gonna find a way
Time to get money nyumbani wa-eat my niggas grab a plate
Washkaji tunatokea street thats why we never scared
Living this life and you know we never tap out
Tukiwa stu' ujue its booming like trap house
Its the life we choose wala hatujui jinsi ya ku-chase clout
Workin day and night till we pass out
Ukicheki home hakujawahi kuwa sawa
Ukiwa mzembe ndio unaweza ukapagawa
You gotta learn how to fly bila ya mbawa
Coz wengine waliishia kula madawa
Huh ! hey! huh! Bounce !
Huh ! hey! huh! Bounce !
Huh ! hey! huh! Bounce !
Huh ! hey! huh! Bounce !
Huh! Bounce !
Huh! Ukiniona natoka ghetto nakwenda ghetto
Maisha ni ruff ndio maana hatujawahi ku-settle
Living this life i can't even fuckin describe
Matter of fact even when the sun shining it ain’t yellow
Huh ! Jua linawaka hata uvae kapero
Hali ni tata siku hizi Hadi laki ni kama jero
Na unaweza kuuma meno mambo yapo tight
Inabidi ku-strive ili u-survive tuu kama camel
Na haya maneno ni zaidi ya kuwa juu ya instrumental
Maana kachaa nishadata nawaza kutafuta menu
Na hali yangu ya maisha naijua mwenyewe tuu ninavyokaa
Maana hapahapa Nina demu anakaribia kuzaa
Daah!! Mtu mwengine angeweza kuikataa
Look around at my city nilipokulia dar
Alotta niggas from here hawakufanikwa
Na hata waliofanikiwa its clear they went thru alot
Now who Am i ndio kwanza naingia 25
I wonder how its gonna be like nikifikia 35
I gotta make a move i gotta do this now
Nkizembea nika-snooze nitakuwa clown
Baby Mama Ana-complain
Chumba kimoja cha kapanga na baby is on the way
Mi najipanga tuu ili mambo yatunyookee
Ila Yeye kuna wakati anahisi kama mi nna-play
Namwambia bae just wait tusiache ku pray
Coz hey! usione tuu watu wana slay ukahisi wako happy
Watu wanavyoishi these days ni zaidi ya actin
Sometimes inabidi uishi ka-slave mambo yawe safi
Ecouter
A Propos de "Bonanza"
Plus de Lyrics de CONBOI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl