Paroles de Mabilioni
Paroles de Mabilioni Par IRENE ROBERT
Sina mwingine wa kum-inua
Sina mwingine wa kumshangilia
Umenifuta machozi yangu
Umenipa wimbo, umenijaza furaha
Nina sababu zaidi ya milioni (Zaidi ya milioni)
Za kukushukuru (Kukushukuru)
Oooh oooh
Kwako mambo ni shwari (Mambo ni shwari)
Kwako mambo ni shwari (Mambo ni shwari)
Baba ee baba, baba mapendo yako
Baba ee baba, yananifaa sana
Baba ee baba, baba mapendo yako
Baba ee baba, yananifaa sana
Ale niache nicheze, nicheze nicheze nicheze
Ale niache nicheze, cheze cheze cheze nicheze
Afrika yote tumchezee Mungu baba
Afrika ---
(lingala language)
Utapanda na mia, mia mia, mia
Utavuna mabilioni, mabilioni, mabilioni
Ale tucheze tucheze mziki wa baba
Ale tucheze tucheze mziki wa baba
Asa cheza hivi, cheza hivi, cheza vile
Asa cheza hivi, cheza hivi, cheza vile
Ale tucheze tucheze mziki wa baba
Ale tucheze tucheze mziki wa baba
Asa cheza hivi, cheza hivi, cheza vile
Asa cheza hivi, cheza hivi, cheza vile
Ecouter
A Propos de "Mabilioni"
Plus de Lyrics de IRENE ROBERT
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl