OCTOPIZZO Swaga Za Wapi cover image

Paroles de Swaga Za Wapi

Paroles de Swaga Za Wapi Par OCTOPIZZO


Maswagga za wapi nikifanya mnacopy
Maswagga za wapi officer kunihoji
Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh

Mi ni yule jamaa napenda madem
Siwezi kaa bila bila kubongesha toto
Kula chako pekee, yako
Mimi mimi sihitaji chako wee

Kinduku kiwake alafu mashuksha
Kwa hayo machache napiga tequilla

Maswagga za wapi nikifanya mnacopy
Maswagga za wapi officer kunihoji
Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh

Sema kenye unadai niko Dubai
Sema kenye unadai niko Mumbai
Sema kenye unadai niko Shanghai
Sema kenye unadai, kenye unadai nitabuy

Changamka kila ngware
Gizani hesabu zangu mita
Ramadhan nimetinga kaa rada na kitita

Maswagga za wapi nikifanya mnacopy
Maswagga za wapi officer kunihoji
Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh

Mizani vina, ni gani mi sina
Imbo mi sina zako za China
Gizani kichaa, maganji ni shida
Uliza jina, (Pizzo de) mi ni shida

Kizazi kipya mi ndio leader
Swagga zenyu zote pipa
Kwenye boxer cheki FIFA
Niko Messi hii La Liga

Maswagga za wapi nikifanya mnacopy
Maswagga za wapi officer kunihoji
Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh

Ecouter

A Propos de "Swaga Za Wapi"

Album : Jungle Fever (Album)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Oct 02 , 2020

Plus de lyrics de l'album Jungle Fever

Plus de Lyrics de OCTOPIZZO

TBT
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl