OCTOPIZZO Ringa cover image

Paroles de Ringa

Paroles de Ringa Par OCTOPIZZO


My phone ringing am like hey mummy
On the side uncles are hey pappi
It's Chullo papi aka Pizzo De

Oh daddy oh daddy
Yo baddie my baddie
Am going in ako za more zaddie
She dripping wey flow zetu muddy

I'ts going down in the DM
We listening to Yo Gotti
I stay low ain't playing with nobody
My girl from Spain, hey papi chulo
Door open no chaplin
Anahema no camping

Dirisha zote nimetinga 
Hapa ni stori na mark no windows
Acha rap hii wimbo
Sheng ngoso bi-lingual
Drip loso cheki hii nguo chini
Hii ni SeaSaw, finje finje bado si soo

Napenda venye unaringa
Nichekeshe nichekeshe
Kwanza ukipandisha rinda
Nichekeshe nichekeshe

Napenda venye unaringa
Nichekeshe nichekeshe
Kila siku za kuwinda
Nichekeshe nichekeshe

Kila siku, kila siku
Napenda penda penda
Napenda penda penda
Vile unaringa

I like the way you hypnotise me
Lips zetu syncronising
Skinny dipping tuko maji
Haga fiti kama model wa IG

Kujia cable mi ni IT
Make sure umekam na ID
Drip ni kama natembea na Ivy
Ka unanyesha msupa we ni Ivy

Baridi mingi shika icing
Saba saba niko lining
Sana sana niko riding
Mwaga ndani buda buda tuko piping

Cheza safe ka ni side chic
Afternoon hii ni PM
Ex wako on my DM
Switching sides ako hii lane

Napenda venye unaringa
Nichekeshe nichekeshe
Kwanza ukipandisha rinda
Nichekeshe nichekeshe

Napenda venye unaringa
Nichekeshe nichekeshe
Kila siku za kuwinda
Nichekeshe nichekeshe

Kila siku, kila siku
Napenda penda penda
Napenda penda penda
Vile unaringa

I'ts 8Town RnB papi on this one
I'm Mayweather with the drip bro
Suede zangu zote punchline

You Mayweather with the body flow
Flow moja toka timeline
Nageuza flow, nageuza doh
Nageuza Doh, picha safi ita Buo

Napenda venye unaringa!

Ecouter

A Propos de "Ringa"

Album : Jungle Fever (Album)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Nov 19 , 2020

Plus de lyrics de l'album Jungle Fever

Plus de Lyrics de OCTOPIZZO

Ler
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl