Paroles de Maselina
Paroles de Maselina Par OCTOPIZZO
Maselina niko na shule huko kwetu
Maselina niko na pesa nyingi sana
Maselina niko na suti nyingi sana
Ninaishi kule Dubai kesho narudi Paris
Nikisema niko maji Pizzo the fish
Weza cheza na float
Nikisema niko ganji mbuzi nacross
Buda praise the goat
Praise the don Pizzo kwa doh
Nipate Lambo nimechill kwa boat
Ambia shabik rada ni happy
Kuna deal na the ish
Zangu ni nappy ju matha ana ganji
Na ikidunga ana pin
So ka hunikanji chezanga mbali
Na ufungange lips
Windows up on a whip
Windows up on a jeep
Fela Kuti in my dreams
But Les Wanyika ndo my kings
Maselina niko na shule huko kwetu
Maselina niko na pesa nyingi sana
Maselina niko na suti nyingi sana
Ninaishi kule Dubai kesho narudi Paris
Kwa hizo chocha hamnipati
Sipendi hype but daily na syke
Niko ocha machapati ndengu kwa side
After that ni mic
Live yangu mtaani yako kwa site
Unaongoja malikes
Niko njaa na sahani kwa mama Oliech
Nikingojaga Rech
Drips zangu zangu za zamani
Bado ni wet soul ni maji nafetch
King David when I sling
Making money in my sleep
Bitcoin no receipts
Silicon Valley rift
Aircon nikidrift
Wakistare panda lift
Maselina niko na shule huko kwetu
Maselina niko na pesa nyingi sana
Maselina niko na suti nyingi sana
Ninaishi kule Dubai kesho narudi Paris
Ecouter
A Propos de "Maselina"
Plus de lyrics de l'album Jungle Fever
Plus de Lyrics de OCTOPIZZO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl