Paroles de Sitaki
Paroles de Sitaki Par OCTOPIZZO
Sitaki, mamorio wa kuchachisha
Sitaki, ngoma za kubahatisha
Sitaki, photographer anachoma picha
Sitaki, uongo za makanisa
Siku ya Valentine ndo mi huwa naua ua
Niko sure sure ka huko rada manze bana kuwa
Germany USA ni tour tour
Jua jua imechoma lakini nikitrip naua jua
Shimo mbili na sibongi juu ya pua pua
Ghetto king maskini wanadai mi ni poor poor
Msupa kabla utoke manze kuwa sure
Vua vua cheza na Don then fua fua
Saloonist, venye nasonga
Nadinyaga mapoints nikibonga
Ambia Lola ni Pizzo de
Na kuna venye anadai ako na tiba
Ile kidonda sitaki
Friday what you upto staki
Nichukue cab utalipa boo, staki
Backseat ka unakaa unafika bei
Ma backstage na wasupa wanabonga sheng
Gang gang
Sitaki, mamorio wa kuchachisha
Sitaki, ngoma za kubahatisha
Sitaki, photographer anachoma picha
Sitaki, uongo za makanisa
Staki staki staki
Kwa hizi Streets Pizzo De
Wanadai bado mi ndio star King
Bars on bars coz wameshinda wakinistaki
Kamiti gang utajitetea ukiwa wapi?
Walami wanadai mbona nawapenda
Wamesahau wao ndio walipatia Uhuru Kenyatta
1963 hadi leo huskii bado sijai
Feel freedom kwa hizi street
1963 some ghetto university
Intellect Si degree
Mfungwa, mtumwa
Tangu handshake wengi kuna venye
Waliwacha kukulaga chungwa
Mkubwa sukumwa, lakini ukiingia area zangu bana
Itabidi umecheza ndogo
Niko njaa man
Na nikicheki fiti food
Imejaa pan ni Chicken Terriyaki
Sitaki, kunishika juu ya nduku
Sitaki, wasanii hawapigi looku
Sitaki, kuletewa ugali bila supu
Sitaki, hizi siasa za kukuwa mangata
Sitaki, mamorio wa kuchachisha
Sitaki, ngoma za kubahatisha
Sitaki, photographer anachoma picha
Sitaki, uongo za makanisa
Soma soma ni Pizzo de na ngoma noma
Ngoja ngoja kuna beef ni nyama choma
I see you washanikoma
Chebukati anasweat na bado hatutoki Bomas
Mapenzi maua na bado yaua
Niko Watamu mtu wangu nakula halua
kelele zingine hapana tambua
Kuja 8Town watakushow Pizzo ni sumbua
Daily ni gomba sober
Who is the culture doper
Piga magoti omba
P.I.Z.Z god Mcee
Always right even though me leftie
Na niko lowkey
Sitaki, mamorio wa kuchachisha
Sitaki, ngoma za kubahatisha
Sitaki, photographer anachoma picha
Sitaki, uongo za makanisa
"Tukipatana wewe husema una haraka
Ya nini unitese bila sababu
Fikiria kwa makini ninayosema mama
Usiniweke kwa hali hii mpenzi wee
Ayee mama "
Ecouter
A Propos de "Sitaki"
Plus de lyrics de l'album Jungle Fever
Plus de Lyrics de OCTOPIZZO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl