
Paroles de Moyo
...
Paroles de Moyo Par MALKIA KAREN
Nikupe nini moyo
Mbona una choyo?
Vyote unataka viwe vyako
Huviachi vya wenzio.... Mmh?
Kila kitu moyo,
Baya zuri moyo.
Yani vyote vyote unatamani uvipate hukosi kasoro
Na Najitahidi tu Kukuridhisha
Ila naona ka najichosha
Mbona unanipeleka puta
Hautosheki moyo?
Moyo we ndo ulinisukuma
Mapenzi yote nimpe Juma
Hivi bado tu hujakoma?
Mbona unanirudisha nyuma?
Oh moyo,nakuuliza nikufanyie nini
Moyo wangu utulie
Najiuliza nikupe kitu gani?
Nakuuliza nikufanyie nini moyo wangu uridhike najiuliza nikupe kitu gani?
Kosa sina,moyo wangu unanionea eh?
Na mambo yakienda kombo unanikimbia
Uwezo sina unachotaka kukutimizia eh?
Nafsi unaiweka rehani ungenihurumia
Moyo kiherehere husemi una makelele
Moyo kimbelembele hutaki nyama
Umemisi tembele
Moyo unapenda vingi
Vingine haviwezekani
Eti unataka madingi
Umewachika viben 10 moyo?
Na Najitahidi tu Kukuridhisha
Ila naona ka najichosha
Mbona unanipeleka puta
Hautosheki moyo?
Moyo we ndo ulinisukuma
Mapenzi yote nimpe Juma
Hivi bado tu hujakoma?
Mbona unanirudisha nyuma?
Oh moyo,nakuuliza nikufanyie nini
Moyo wangu utulie
Najiuliza nikupe kitu gani?
Nakuuliza nikufanyie nini moyo wangu uridhike najiuliza nikupe kitu gani?
Ecouter
A Propos de "Moyo"
Plus de Lyrics de MALKIA KAREN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl