
Paroles de Si Ndo' Manake
...
Paroles de Si Ndo' Manake Par AY MASTA
Wakikuambia huwezi fika it’s okay kilode
Wakikuuliza wapi waambie on my way on my way
Enjoy your drinks go smoke your cigar
Usicheze na life don’t touch my kida
Maisha yenyewe ya mtaa
Hazizoeleki shida
Bora upoteze saa ila usipoteze mida
Ring ring kwenye hustling
Team niliochagua ni lazima kuwin
Wa juu wa juu wa chini watabaki chini
Na uzuri sisi hatufanani na nyinyi nyinyi
Ooh ooh ooh
kila mtu atakufa na lake
Ooh ooh ooh
Si si si ndo manake
Ooh ooh ooh
Kila mtu atakufa na lake
Ooh ooh ooh
Si si si ndo manake
Ah
Kwa jicho la juu juu unaweza ukadharau
Hii bahari inameza watu
Ushajiuliza how nasurvive vipi
I’m swimming with the sharks now
So don’t bring me your bullshit kinyau nyau
You understand when I say akili kum kichwa
Kuna vitu nadhani unavijua
Kumbe umefichwa na vile ndio una kimbelembele hutaki kupitwa
Kihede hede kelele vipi wataka kushikwa
Nikusomeshe kurasa kwa ukurasa
Twende nikuonyeshe kwanini naitwa Darasa
Somo la leo kukupa adabu faster halafu nitakuja kukupa sababu after
Chafya huh najiskia afya
Game ni ngumu kweli na wao ndio wanasuffer
Walio ingia kichaka what now kaka
Mambo ya kujifanya a big car parker
Mambo ya kujichanganya msata kata
Wanajificha kwenye rap hao kibao kata
Sema it doesn’t matter time inanikata
Ninaishia hapa sema nao master
Ooh ooh ooh
Kila mtu atakufa na lake
Ooh ooh ooh
Si si si ndo manake
Ooh ooh ooh
Kila mtu atakufa na lake
Ooh ooh ooh
Si si si ndo manake
Waliodhania watani wakaja kututania
Tukikutana washindwa kutuangalia
Tunapandisha maisha na hii career
Mungu ndiye anayesafisha njia
Waliodhania watani wakaja kututania
Tukikutana washindwa kutuangalia
Tunapandisha maisha na hii career
Mungu ndiye anayesafisha njia
Ecouter
A Propos de "Si Ndo' Manake"
Plus de Lyrics de AY MASTA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl