
Paroles de Simuoni
...
Paroles de Simuoni Par AY MASTA
Don’t be sorry Abbah
Yeah
Bombocalaaat
You know the sound
Yes sir yeah
I got some money and the cars to move around
Some beautiful friends to come around
But why I’m I so lonely
Man I feel so lonely
Baby zinaniita tajiri
One call zinakuja wawili
Dakika mbili
Why I’m I so lonely
Man I feel so lonely
I need somebody home
I’ve been looking for the queen of my kingdom
I feel like I’m nothing, overthinking
I’ll be drinking
Man I’m sitting lonely at the top like Asake
Adam asingeweza pekee yake
Kapewa Eva aje kuwa mwenzake
Wazuri ni wengi
Ila wakumuamini sa ndio simuoni
Wote ndio wale wale
Simuoni wote ndio wale wale
Simuoni wote ndio wale wale
Simuoni wote ndio wale wale
Abbah
Yes sir yeah
Ah ah
All the things that I have but still I got no love
Kama juzi nilipata mpenzi nikampa kila kitu
Na bado kaniweka sabuu
Ila starehe zojiana no no moyo unaniambia master go slow
Kumpata one night stand tonyo
Ila kumpata wa maisha it’s not normal
Nishachoka kuishi kisela
Najua kutafuta helaa
Natafuta wa kunipenda
Nikampenda nikamkeyaa
Nishachoka kuishi kisela
Najua kutafuta helaa
Natafuta wa kunipenda
Nikampenda nikamkeyaa
Man I’m sitting lonely at the top like Asake
Adam asingeweza pekee yake
Kapewa Eva aje kuwa mwenzake
Wazuri ni wengi
Ila wakumuamini sa ndio simuoni
Wote ndio wale wale
Simuoni wote ndio wale wale
Simuoni wote ndio wale wale
Simuoni wote ndio wale wale
Abbah
Ecouter
A Propos de "Simuoni"
Plus de Lyrics de AY MASTA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl