
Paroles de Deka
...
Paroles de Deka Par HAMADAI
Mmmh yaza man
Woo woo woooh
Aah
Kananichanganya haka katoto
Kananifanyia mchezo
Nikikaona mie tumbo joto
Kanapendanga dezo dezo aiii
Nataka kinizalie watoto
Maana kanakizi vigezo
Tupendane kwa raha na msoto
Tukiwa chumbani madekezo
Aah lazizi weeeh
Mwenzako nimeziba masikio siwaskizi eeh (siwaskizi)
Wakileta umbea natoka mbio
Lazizi weeh
Nimeziba masikio
Siwaskizi eeh (siwaskizi)
Nikikupoteza itakua kilio
Sasa ni muda wa kudeka
Yaliniumiza mapenzi
Yalinitesa kishenzi
Sasa ni muda wa kudeka
Yaliniumiza mapenzi
Yalinitesa kishenzi sasa ni muda wa kudeka
Aaaah aaai aaah
Mi kwako kiwete mwenye magongo
Kukukimbia sina uwezo
Maneno matamu siongei fyongo
Mixer kukupa mikonyezo
Kama gazeti waende kwa shigongo
Huku ni habari za michezo
Hii couple haina longo longo tajiri
Tumezingatia vigezo
Ooh lazizi weeh (lazizi)
Mwenzako nimeziba masikio
Siwaskizi eeh (siwaskizi)
Wakileta umbea natoka mbio
Siwaskizi eeh (siwaskizi)
Nikikupoteza itakua kilio
Sasa ni muda wa kudeka
Yaliniumiza mapenzi
Yalinitesa kishenzi
Sasa ni muda wa kudeka
Yaliniumiza mapenzi
Yalinitesa kishenzi sasa ni muda wa kudeka
Ecouter
A Propos de "Deka"
Plus de Lyrics de HAMADAI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl