
Paroles de Vichenji
...
Paroles de Vichenji Par MABANTU
Eeh eeh eeh oooohh
Chiby
Si wanapenda kubang
Eeh eeh eeh oooohh
Unanificha ila najua umempata mwenye vichenji
Eeh eeh eeh oooohh
Ah eh ndo sababu ya wewe kuchange
Eeh eeh eeh oooohh
Hauwezi sema ila najua umemapata mwenye vichenji
Eeh eeh eeh oooohh
Ah eh ndo sababu ya wewe kuchange
Bad na Paula si wanapendezana
Ila hawafikii hata nusu ya mimi na wewe
Jux na Priscila si wanaendana
Hawafikii hata robo yetu mimi na wewe
Umechange umechange
Mchumba mbona umechange
Umebadilika sana umechange
Ah jembe langu umechange
Siku hizi unafoka sana unatoka
Ukirudi nikiomba mchezo unadai umechoka
Hivi kweli umechoka au yangu ndo umeichoka
Mbona mwanzo uliitaka hata kama umeichoka
Eeh eeh eeh oooohh
Unanificha ila najua umempata mwenye vichenji
Eeh eeh eeh oooohh
Ah eh ndo sababu ya wewe kuchange
Eeh eeh eeh oooohh
Hauwezi sema ila najua umemapata mwenye vichenji
Eeh eeh eeh oooohh
Ah eh ndo sababu ya wewe kuchange
Si ulisema mi na wewe tutazikana
Hatutoweza kuishi mbali mi na wewe
Makosa, kama yapo, si ungenichana
Si unanifanya nibaki na kitendawili
Umechange umechange
Mama mtu mbona umechange
Umebadilika sana umechange
Jembe langu langu umechange
Kwetu mi mtoto wa sheikh
Ukanifanya nimjue kristo
Mchumba upendeze nilikuwa ready nishike pistol
Nifanye chochote ili uwe peaceful
Maumivu yake kama mtu kanichoma kisu
Eeh eeh eeh oooohh
Unanificha ila najua umempata mwenye vichenji
Eeh eeh eeh oooohh
Ah eh ndo sababu ya wewe kuchange
Eeh eeh eeh oooohh
Hauwezi sema ila najua umemapata mwenye vichenji
Eeh eeh eeh oooohh
Ah eh ndo sababu ya wewe kuchange
Ecouter
A Propos de "Vichenji"
Plus de Lyrics de MABANTU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl