Paroles de Utalala
Paroles de Utalala Par DAYOO
Kiukweli mi sina kitu
Hali yangu kama unavyoona
Ni mishe za kule na huku
Viwalo vyangu vya ilala boma
Je kwel umeridhiana na mi
Vijora vya buku sita utavaa baby
Kuna maneno mengi mtaani
Mara nakuzeesha utaimili kweli
Usiropoke ukinuna ukiwa na hila
We niseme ata nikiwa na hasira
Usijifunze kukaa na jambo moyoni
Litakuja lisumbue baadae
Utakutana na nguna je we utakula
Vya kulumangia ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina je utavumilia
Umekuja mazima we uje mazima
Na jee baby utalala lala
Usingizi mororo utalala lala
Kwenye bangaroo giza totoro utalala lala
Ghetto na ndoo tu na godoro utalala lala
Kesho tuamkie kiporo
Nashukuru umeona unifae
Wakati ambao nipo juu ya mawe
Ushaamua nshaamua na iwe
Sa baadae usije unikatae
Kiganjani mwangu usiniponyoke
Tupendane wambea tuwadondoshe
Yani baby nishike twende wote
Wakikutisha nipo ivyo usiogope
We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby
Kukupenda mbona sana tu sana baby
Na je wewe
Utakutana na nguna je we utakula
Vya kulumangia ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina je utavumilia
Umekuja mazima we uje mazima
Na jee baby utalala lala
Usingizi mororo utalala lala
Kwenye bangaroo giza totoro utalala lala
Ghetto na ndoo tu na godoro utalala lala
Kesho tuamkie kiporo
Ecouter
A Propos de "Utalala"
Plus de Lyrics de DAYOO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl