
Paroles de Bora
...
Paroles de Bora Par DAYOO
Si eti again
Ola daiya
Oloooh
Aaanh
Oho mamamamaaaa
Ameniambia
Nimuache anataka furaha
Ameniambia
Hataki kuishi na mimi
Ameniambia
Level zake za juu mimi fukara
Cha ajabu kanambia
Namchoresha eti nna sura mbaya mmmh
Moyo wangu wa kijinga uli stuck kwake yeyeee mmmh
Kanijaza kanichota kaniacha mwenyewe
Alofanya nimiss ex wangu ni yeyeee
Maana
Ugomvi wa kuku furaha kwa mwewe
Ni bora
Nijipende mwenyewe tu na moyo wangu
Ni bora
Nijipende mwenyewe tu na mama yangu
Ni bora
Nijipende mwenyewe hata na ndugu zangu
Ni bora
Nijipende mwenyewe na rafiki zangu
Ni bora
Mmmh
Mapenziii yana raha yakee
Mi siwezi kuwa mtumwa wa mapenzi
Mapenzi yana watu wakee
Asa mi siwezi kutumikia mapenzi
Naa nishaumizwa so mara moja
Wala mara mbili
Nishaumizwa mpaka nikawa siliii
Mmmh
Madonda ya tumbo yakanipeleka muhimbili
Yote ni sababu ya mapenzi
Sasa si bora nitulie
Nibakiee niutunze mwili wangu
Mollah nijalie
Wenda na mie
Nitampata mwenzangu
Ni bora
Nijipende mwenyewe tu na moyo wangu
Ni bora
Nijipende mwenyewe tu na mama yangu
Ni bora
Nijipende mwenyewe hata na ndugu zangu
Ni bora
Nijipende mwenyewe na rafiki zangu
Ni bora
Ecouter
A Propos de "Bora"
Plus de Lyrics de DAYOO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl