Paroles de I Love You
...
Paroles de I Love You Par DAYOO
Ulaa lala
Sieti again
Ulaa lala
Sieti eeh
Ooh, eeh eeh
Ooh no no no
Tulipatoka beib ni mbali
Tunapo uwenda mbali
Tumevuka mito mabahari
Mi nawe
Kuna wanga wasio tukubali
Walisema katutofika mbali
Ona mungu katupa kibali
Mi nawe
Beib
Janja janja sina (sina)
Mi nime maliza
Nimekuwa mtu mzima, nimekuwa
Mmh kona kona sina
Nimeshamaliza
Saivi najielewa ; najijua
Hata munione zaba
Sawaa, ni sawaa, ni sawaa
Hata nkose pesa nikikuona ww apo
Ni sawaa, ni sawaa
Oh beib
L o v e y o u; i love you
Wee i love you
Oh beib
L o v e y o u; i love you
Wee i love you
Ma beib
Jay pnce again
Sijui kama mnaona
Nadekezwa ona
Najaliwa ona
Penzi limenona
Eti kila kona
Naicheza ngoma
Nabusiwa mwaa; mwaaa
Akinitaka ananiita beib
Ananiita hanny
Ananiita sweet
Ananiita
Akinitaka ananiita beib
Ananiita hanny
Ananiita sweet
Ananiita beib
Oohoo, aahaaa
Oohoo, aahaaa beib
Oohoo, aahaaa
Oohoo, beib
Hata unione zoba
Sawaa, ni sawaa, ni sawaa
Hata nkose pesa nikikuona ww apo
Ni sawaa, ni sawaa
Oh beib
L o v e y o u; i love you
Wee i love you
Oh beib
L o v e y o u; i love you
Wee i love you
Ma beib
Ecouter
A Propos de "I Love You"
Plus de Lyrics de DAYOO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl