Paroles de Watakubali
Nouveau single "Watakubali" du rappeur tanzanien Mr Blue avec le prochain artiste Allio...
Paroles de Watakubali Par MR BLUE
Hii game ni yangu Bizzey
Kila wakiniona ninayo na sijazaliwa nayo
Nachana naachana nayo sina mpango nayo
Atazileta tu habari zenu Millard Ayo
Watajileta tu MCees wenu wafuate nyayo
Leo nawarusha old school mambo hayo
Wakiskia voom voom link kwenye bio
Collabo na dullayo
Nawapiga chega na tobo za dumayo
Hey hey mr habari kwa leo n hayo
Kicheche mpenda pesa ushafika kwa Mr Shayo
Mcee mwenye presha kachimbe kaburi lako
Kipaza, kipaza, kipaza sauti
Mamatha, mabratha, mafather saluti
Dunia inashangaza utashangaa mpaka umauti
Madogo wakulungu watume nyuti
Hatukurupuki kunyesha tunanyesha baba
Hatuchuruzuki tumechill tuko full
Hatufurukuti vichwa havizunguki
Vichwa hivi vichwa sio vichwa mikuki
Vichwa ukiweka vichwa tunavishuti
Vichwa akili fupi, vichwa vinawaza chupi
Vichwa vinamwiga Snoopy stupid
Hawamjui Mungu yupi
Wakiwa na dili ukitaka dili hawakupi
Wakiwa na siri sio siri tena haivuki
Ukimfuata mtu mbili ngoma mbili hawainuki
Piga chenga za mwili kifuti na mashuti
Mamluki wanajifanya hawakumbuki
Kumbusha kwa rhymes usitumie bunduki
Jeshi moja mtu mmoja, majeshi kama nyuki
Boy hausanuki ati kwao kinanuka
Mbona kwetu hakunuki ndege zetu anga zao
Kwetu haziruki, wapuzi
Kazi yetu ni miziki na miziki
Sisi wauza mikizi hatushiki bunduki
Hapa mistari tu
Kazi kwenu wanafiki wazaliki
Walodhani hatufiki Mola yupo na sisi
Watakubali tu
Ah kamanda kameza bomb manyota hewani
Game imesanda ipo kwa kamanda akiwa ndani
MC mjanja umeliona janja la zamani
Hauna mkwanja hauna jina nuna mpinzani
Subiri kwanza usimuulize mchawi nani
Mtulize mkeo atulie akienda kisimani
Muulize bwana sungura fisi ni nani
Usituletee kisirani kwani sisi nani?
Wanaume (Eeeh...)
Mwanaume ndo natoka na moka
Naenda kufoka bila kuchoka
We baba wee! Usimguze mke wa mtu
Usidhubutu kula vya watu katu katu
Na mwanangu black berry nyatu nyatu
Jibaba ukicheza alafu umepiga kavu
MC watu, leo MC wafu
Nawatafuna na ndizi choma pembeni ndafu
Alafu nawaonyeshea ubavu
Microphone we ndo baba
Microphone we ndo mama
Kama Yesu na msalaba
Kwa dunia na kiama
Toto ushalitaga nadeka kwa mama
Kote wananitaja nazeeka na learner
Nacheka na wana napeka na zana
Sijui kuiba najua kuchana
Sihitaji kahaba, makahaba mnajulikana
Na mmeshababa wakina baba mkhedhuli sana
Yeah wakina dada wanatupenda sana
Tuongeze ibada tumsifu bwana
Amani na upendo tumtukuze Bwana
Na nyie wana single
Game msivuruge sana
Msiburuze sana
Tumtukuze mama
Tuwatunze sana
Wengine sana sana
Tutaongea tukionana poa poa
Kazi yetu ni miziki na miziki
Sisi wauza mikizi hatushiki bunduki
Hapa mistari tu
Kazi kwenu wanafiki wazaliki
Walodhani hatufiki Mola yupo na sisi
Watakubali tu
Watakubali tu, watakubali tu
Watakubali tu, watakubali tu
Yeah yeah...
Ecouter
A Propos de "Watakubali"
Plus de Lyrics de MR BLUE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl