
Paroles de Ungewezaje
...
Paroles de Ungewezaje Par Dogo Paten
Ju ya daji nilipanda nilishuka
Kama sina nilikopa
Yote nilifanya ni ya kumridhisha
Sikujali kuchoka ili apate anachotaka
Yarabi Mola leo nadhalilika nadhalilika
Kuna muda napanda tupu yani kuna muda napanda maganda
Kuna muda ananikosea ananikaripia na najishusha
Kuna muda hata tukiwa ndani ananinyima kile ninachotaka
Ananifanya nalipata penzi kwa kubaka
Nimevumilia mengi
Kwenye mapenzi
Ila jambo la kucheat ndio lilo nitoa machozi
Ungewezaje
Anakuona bwege
Ungewezaje
Anakuona bwege
Ungewezaje
Anakuona bwege
Kama mapenzi yangekua pesa kitambo nishatuma muamala
Kama mapenzi yangekua pesa za risasi ningetoka kwa manara
Kama mapenzi yangekua uchizi kitambo nishakua fala
Mapenzi
Kuna muda natamanigi ata kua single
Kuna muda natamanigi kuku handle mama
Kuna muda natamanigi kunywa sumu kwa ajili yako
Kuna muda napanda tupu yani kuna muda napanda maganda
Kuna muda ananikosea ananikaripia na ninajishusha
Kuna muda ata tukiwa ndani ananinyima kile nacho taka
Ananifanya nalipata penzi kwa kubaka
Nimevumilia mengi kwenye mapenzi
Ila jambo la kuacheat lilo nitoa machozi
Ungewezaje
Anakuona bwege
Ungewezaje
Anakuona bwege
Ungewezaje
Anakuona bwege
Ungewezaje
Anakuona bwege
Ecouter
A Propos de "Ungewezaje"
Plus de Lyrics de Dogo Paten
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl