Paroles de Umekopwa
Paroles de Umekopwa Par D VOICE
Si wanapenda kubang
Eti watu hivi mjini na nyota zao
Ya kwako ishafifia
Sasa unadangia nini?
Umekesha kimboka hujarudi hata na mia
Shoga kichwa cha panzi
Bia moja umezima umetupwa kisavia
Alafu kesho unavimba unatamba
Na wigi umegongea wewe
Kumbe ndo maana umekopwa
Umekopwa, umekopwa
Na Mashalove, umekopwa
Umekopwa, umekopwa
Ona ndo maana umekopwa
Umekopwa, umekopwa
Na jike shupa
Unajifanya mtoto wa mjini
Na juzi umekopwa
Unajifanya mtoto wa mjini
Na juzi umekopwa
Unajifanya pisi kali
Sa mbona umekopwa?
Unajifanya pisi kali
Sa mbona umekopwa?
Kwani shoga umalaya umechanjia
Maana bingwa kutaka fazambia we
Ulipopanga hata chumba hujalipia
Lile danga limekukimbia ona
Majanga umerudi huku unalia
Ndo maana umekopwa
Dada nipe sitokuwacha walai
Bomba bomba haikatopsi haikatai
Na ukinipa sherehe mama mchumba na sherehe
Swafi haina kwelele, Ukucha umepata upele
Ukitaka mbele kalia, ukitaka nyuma utalia
Bi shosti si uliyataka mwenyewe
Ulisema na kibamia, aii mama
Mpaka kifo kia pocha shela na tai
Leo nikopeshe niko mbaya haifai
Baby washa haifai
Maana mbili haikai, wala tatu haikai
Sitasimama masai
Baby niwai ntakufa mwenzako ushakula vitu
Alafu bao langu la ushindi halivutiki kwa tissue
Kumbe ndo maana umekopwa
Umekopwa, umekopwa
Na Mashalove, umekopwa
Umekopwa, umekopwa
Ona ndo maana umekopwa
Umekopwa, umekopwa
Na jike shupa
Unajifanya mtoto wa mjini
Na juzi umekopwa
Unajifanya mtoto wa mjini
Na juzi umekopwa
Unajifanya pisi kali
Sa mbona umekopwa?
Unajifanya pisi kali
Sa mbona umekopwa?
Haa, kane kane, si wanapenda kubang
Pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja
Ganda mbili, ganga tatu
Pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja
Ganda mbili, ganga tatu
Nawaita wanangu wee, hee
Eeh bajita, hee
Nawaita wanangu wee, hee
Bajita, hee
Basi twende nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa
Masela kiuno cha Fally Ipupa
We jombi nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa hiko
Nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa
Obey nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa
Montana nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa
Wanangu bado mdogo lakini anapenda chura
Mashalove bado mdogo lakini anapenda chura
Wanjala bado mdogo lakini anapenda chura
Yule dada bado mdogo lakini ana
Ecouter
A Propos de "Umekopwa "
Plus de Lyrics de D VOICE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl