
Paroles de Baby Mpya
...
Paroles de Baby Mpya Par D VOICE
Oooooohh
Aaaaaahh
Oooooohh
Aaaaaahh
Hayaaa aaaahh
Wee hayaaa
Aliyekwambia kahadithiwa
Na aliyehadithiwa kakosea kukwambia
Na aliyemwambia alihadithiwa
Nay eye akakosea kumwambia
Wala sijafubaa
Tena sikuhizi nimezidi utundu
Nashukuru mashallah rangi kama mzungu
Niliyempata kichaa nampa pakaa huh
Ndani sebene sebene hadi raha
Sasa ya nini nifiche fiche (baby mpya mtamu)
Mimi mwenzenu siwezi kuficha (baby mpya mtamu)
Aaahh ya nini nijibane bane (baby mpya mtamu)
Mimi mwenzenu siwezi kuficha (baby mpya mtamu)
Na nilikuwa nakustiri tu
Maana nisikufiche we
Ni mbaya sanaa
Mi nashukuru tulivyochana
Kukudiana tutaongopeana
Naona unakazana kushindana na walokuzidi
Huyu mwenzako king anakuongoza ligi
Utamaliza vioo kujisetu mawigi
Nishavuka level hizo sitembei na mabibi
Sijafubaa tena sikuhizi nimezidi utundu
Bashukuru mashallah rangi kama mzungu
Niliyempata kichaa nampa pakaa
Ndani sebene sebene hadi raha
Sasa ya nini nifiche fiche (baby mpya mtamu)
Mimi mwenzenu siwezi kuficha (baby mpya mtamu)
Aaahh ya nini nijibane bane (baby mpya mtamu)
Mimi mwenzenu siwezi kuficha (baby mpya mtamu)
Wekaaaaa
Aya sasa ya leo kali mama
Ya leo kali dada
Mama ya leo kali mama
Ya leo kali dada
Mama kafanyaje huyooo
Kapostiwa usoni amewekwa stika
Kafanyaje huyoo
Kaenda kudanga karudi kaachika
Kafanyajeee
Amenunua iphone tandika
Kafanyajeee
Kaambiwa ukweni hajulikani
Haaya usimuone anateteleka anaandida huyo
Usimuone anarukaruka anaandida
Masela usimuone anatetemeka ana andida huyo
Msimuone anaruka anaandida
Misifa mengine bhana
We wala hainogi
Misifa mengine bhana we wala hainogi
Eti nikuonge simu alafu nadaiwa kodi
Oya wee unaota eeh
We nenda ukalale
Kama nikikuhonga kweli niite mbwa niko pale
Oya wee unaota eeh
We nenda ukalale
Kama nikikuhonga kweli niite mbwa niko pale
Haya haukatazwi kulilia mapenzi mama dullah
Haukatazwi kulilia mapenzi mama dullah
Swali la msingi ila kwanza umekula
Swali la msingi, shoga kwanza umekula
Haukatazwi kulilia mapenzi mama dullah
Haukatazwi kulilia mapenzi mama dullah
Ila swali la msingi, shoga kwanza umekula
Shoga kwanza umekula, udugu kwanza umekula
Achaaaaaaaa
Veriiii gidiiiii
Ecouter
A Propos de "Baby Mpya"
Plus de Lyrics de D VOICE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl