BARNABA Tuachane Mdogo Mdogo cover image

Paroles de Tuachane Mdogo Mdogo

Paroles de Tuachane Mdogo Mdogo Par BARNABA


Na spend muda na vavangaa
Najinadii kumbe wenzangu wana rambaa (eboooo)
Kila kitu unatambaa
Wajigamba wanionaa( dugagambaa)
Nilipoteza mudaa, na ukaringaaa
Ukaniona mjingaa
Na umeharibu mipangoo
Nini spend muda kuwa chinii
Ili nikuwin umenitupaa ng’amboo

Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu
Moyo umeupa ghazabuu
Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh

Tuachane mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
tuachane mdogo mdogo na me
Nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo

Nahisi nimeonewa eeeeh
Kwa haya nilifanyiwa eeeeh
Penzi langu bembea eeeeh
Wamebembea wengineeee
Shimo mwenyewe nilichimba
Ndo linalonizika najiuliza kwanini
Mapenzi yote nilimpaa
Angalia kulizika baada ya nyama ye akaleta mainiii
Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu moyo umeupa ghazabuuu

Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu
Moyo umeupa ghazabuu
Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh

Tuachane mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
tuachane mdogo mdogo na me
Nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo

Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa eeeeeeh
tuachane mdogo mdogo

Na me nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
Heheee Emma the boy
Heheee Killing the beat
No no no nooo huooooo
Niliweka malengo nayeee
Ameharibu mwenendoo
Penzi kalitia pengoo mmmmmmmmh
Simung’unyii sihemiiii
classic

 

Ecouter

A Propos de "Tuachane Mdogo Mdogo"

Album : Gold (Album)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Noella Noupeb
Published : Sep 21 , 2018

Plus de Lyrics de BARNABA

BARNABA
BARNABA
BARNABA
BARNABA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl