
Paroles de Salama
...
Paroles de Salama Par BARNABA
Ya badman
Mopao
Na samba lama
Aiyoo ohh
Eh he he he
Koma kunichokonoa
Kunifatafata
Kuna muda vinaboa
Aku utanitia doa
Niliyenae moyo wake tishi utaloa
Najua nakuudhi
Huyu wa sasa
Amekuzidi maujuzi
So usilete attitude
Kubishana bishana
I am not in the mood eehhh
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Uku napenwa nyama
Nyama kwa nyama
Sijui wewe uko, weee
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Uku inabana
Bana banana sijui wewe uko
Ona usiniulize
Hali niko very good mmmhh
Nimeglow sana eeh
Pochi limenona
Ahh ehh mwenzako mimi
Niko very good mmmhh
Nimeglow sana eeh
Pochi limenona
Eehh alhamdulillah
Angeniuwa yule
Maana mtu si mtu
Jini si msukule
Hivi mapenzi gani
Kupigana kama shule
Mie nampa huku
Ye anayotoa kule
Ohhh nuru hii
Ningeitoa wapi
Kufumania kila siku
Kuchikana mashati
Ohhh nuru hii
Ningeitoa wapi
Kutukaniwa mpaka
Ndugu ndo mapenzi ya wapi
Na simu zako usiku
Wamanane unikome ehh
Kunitumia message please naomba nikuone
Wewe si jeuri
Haya move on tukuone
Na mbichwa wako usiofadhira
Heshima hata tone
Najua, najua nakuudhi
Huyu wa sasa amekuzidi maujuzi
Eeh najua
So usiniletee attitude
Kubishana bishana
I am not in the mood
Ehh mwenzako mimi
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Hooo kazi kwako kigagura
Uku napenwa nyama
Nyama kwa nyama
Sijui wewe uko, wuuuh
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Uku inabana
Bana banana sijui wewe uko
Ex usiniulize swali
Niko very good mmmhh
Nimeglow sana eeh
Pochi limenona
Ehh mwenzako mimi
Nimeglow sana eeh
Pochi limenona
Ecouter
A Propos de "Salama"
Plus de Lyrics de BARNABA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl