Paroles de Hunitaki
Paroles de Hunitaki Par BARNABA
Come back to me
Nakutumia meseji hujibu fine, fine, fine
Ukiniona haunisalimii fine, fine
Ukiniona unabadili njia pia fine fine
Hata meseji zangu haujibu basi fine fine
Nahisi kufakufa
Penzi bila yeye nyumba bila ukuta
Penzi lina nyufa basi fine fine
Pumzi yangu oxygen ndo yeye
Amenitelekezaga mwenyewe
Nami siwezi hema bila yeye
Basi fine fine
Mijongoo miguu mingi
Sioni sina machoo
Nimehonga roho na shilingi
Kurudisha uwepo wako bado
Bado, bado nakukumbuka bado (kichwa unanipasua)
Bado bado nakukumbuka bado (nashindwa kulala)
Bado bado nakukumbukaa bado, (ninakuota ota tu)
Bado bado nakukumbuka bado
Ah! Mchwa wameushambulia mgomba
Walianza kula mizizi
Wamemaliza mkonga
Mussa alinisimulia mjomba
Penzi ni sukari ya ndizi
Ila ni kama embe uvyonda
Ushuhuda wa mapenzi, kijumbe ngoswee
Hii vita mi siwezi, sina zana yoyote
Nilijitahidi sana vitunguuu kupatikana
Nikakopa kopa vinyanya (aaaahha)
Yapo yalowezekana na machache kushindikana
Wapi tulishindwana (aah aaahaa)
Mi jongoo miguu mingi
Ila sioni sina machoo
Nimehonga roho na shilingi
Kurudisha uwepo wako ooh (Mi bado
Bado bado, nakukumbukaa bado (mwenzako bado)
Bado bado nakukumbuka bado (nachanganyikiwa mimi)
Bado bado nakukumbukaa bado (nimezidiwa)
Bado bado nakukumbuka bado
Ecouter
A Propos de "Hunitaki"
Plus de Lyrics de BARNABA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl